Nyamesocho
JF-Expert Member
- May 5, 2023
- 489
- 1,270
Kuna jamaa yangu hapa anajipanga kupangua hoja zinazomkabili, ilikuwaje? Mpe ushauri
Jamaa ana umri wa miaka 39,mwaka jana akiwa kwenye maeneo yake ya kazi kuna binti alikuwa anapita pita hayo maeneo kama kawaida wanaume akarusha ndoano,binti mdogo miaka 19 akamwambia amcheki kwa namba hiyo ......
Jioni mzee akaanza texts za kumuapproach binti, binti kapiga noooooo ndefu na sababu kuu 3
1,Wewe mbaba kabisa nidate na wewe,umri sawa na baba angu
2,Una familia na mke hata huna aibu
3,Nina mpenzi
Baada ya kutolewa hizo sababu tatu jamaa akakata stimu ya kuendelea kumtongoza binti ambaye ndo kahitimu kidato cha nne mwaka Jana
Baada ya miezi 5 binti akamtext jamaa, jamaa akauliza nani? Binti akajibu kwa kutaja jina, jamaa akahamaki, akauliza vipi? Binti akajibu nilikuwa nakusalimia......., Jamaa akajibu sawa,hakuendelea kumchatisha zaidi maana zile sababu zilimkata makali
Baada ya siku kadhaa binti akampigia simu akiomba msamaha kwa kumkwaza ila anaomba amsaidie elfu 45 kuna shida imemkabili,anaomba sana amuokoe. Jamaa akaona acha ampe, akamuuliza Namba hii na jina gani litakuja" Baada ya dakika 5 muamala ukakamilika binti akashukuru sana
Wiki moja baadae binti akamchatisha jamaa,Sasa wakiwa katikati ya stories jamaa si akadokoa"Nilikuwa nakupenda basi tu ulinikataa" Majibu ya binti"Oooh! Siku ile nilikuwa na stress ndo maana" Jamaa" ko kwa sasa upo tayari? Majibu ya demu "Ni wewe tu! Basi jamaa wakawa wamekubaliana na binti na wakazini kama safari 4 hivi
Bwana eeeh! Binti akamwambia,"Mr tangu tuwe kwenye mahusiano umepita mwezi mmoja ila najisikia ovyoo nahisi kama nina mimba, jamaa akaduwaa. Tunafanyaje sasa binti kakomaa anataka kutoa mimba maana hata wazazi wa binti ni shida sana mtaani
Basi jamaa akamseti Doctor fulani hivi binti akaenda pale, Doctor kwanza akachukua vipimo na maelezo ya awali kuhusu ujauzito akabaini ni zaidi ya miezi 7 na akamshauri azae tu
Jamaa alivyomuuliza mbona mimba siyo yangu "Binti akafoka na kuja juu,",Kama unakataa hii mimba jiandae kitaeleweka mkeo lazima ajue na wanao lazima wajue" na binti kakomaa sawa sawa kama hutoi hii mimba nioe
Katika uchunguzi wa jamaa amebaini kuwa kabinti kalikuwa na kamshikaji miaka 25,kakampiga ujauzito ,kijana kasepa mtaani hajulikani alipo ,ameangushiwa mzigo akwepe vipi?
Ushauri tafadhali
NB:Mliopo kwenye ndoa kuwa makini na mabinti wanaokuja kwa kasi kwako,utavuruga ndoa