Mume kamganda mchepuko miaka takriban 5

kichwakili

Member
Aug 19, 2017
27
23
Habari ndugu zangu

Nina rafiki yangu kama Pete na kidole, huyu rafiki yangu amekuwa akiniomba ushauru maranyingi sana kuhusu nda yake mume wa huyu rafiki ajatulia hata kidogo kuna kipindi alikua anabadilisha michepuko lakini ikafikia kipindi akaganda kwa huyo mchepuko huu mwaka wa tano yuko na huyo mchepuko.

Rafiki yangu ameongea mpaka amekata tamaa na mbaya zaidi huyo shemeji yangu ataki kabisa mke wake amuongelee huyo mchepuko wake kwa mabaya akijaribu tu kumtukana huyo mchepuko unatokea ugomvi mkubwa sana.

Huyu bwana shemeji majukumu yote ya familia anatimiza isipo kuwa swala la sita kwa sita wanweza kumaliza hata mwenz mzima awajapeana tendo sasa huyu best yangu anataka kutafuta mganga amroge huyo mchepuko pamoja na kumroga mumewe ili asichepuke tena awe wake peke yake naliwasilisha hili kwenu wakuu mumpatie ushauri huyu best yangu.
 
Kwa imani ya dini yake mtie moyo amuombe Mungu, asiende kwa waganga hao ni watu tu.Asiache kumtendea mema mume wake kwa neema ya mwenyezi Mungu linawezekana,badala ya kumsemea mabaya mume wake amuombee pamoja na ulinzi kwani ulinzi wake ndio ulinzi wao.Siku inakuja atatubu mbele zake na kuwa mtu tofauti kabisa.
 
Mganga wa nini

Ina maana miaka yote 5 hatongozwi

Muda huu alitakiwa awe na mwanaume wa ukweli alomzidi mumewe hadi dhambi

Mwanamke u akuwaje na mwanaume mmoja? Baba yako huyo? Matokeo akiwa na mchepuko sugu unabaki kuwa single in marriage

Mwambie apoe mwanaume mwenginr...mwenye hela na anayesugua...akipewa show 2 tu za maana atasahau upuuzi wa waganga
 
Hilo tatizo linaonekana limesababishwa na mwanamke maana wanawake wengi wakigombana na waume zao wanaona kunyima unyumba ndio adhabu mume akitafuta mbadala mnaanza kutafuta mchawi nani.
 
Hapo inaonekana tatizo ni mke kupewa haki yake ya ndoa,maana khs mahitaji mengine jamaa anatoa.

Hapo kuna mambo mawili nionavyo Mimi ,jamaa Hana nguvu za kutosha Kwa maana akisha lala na mchepuko wake basi Hana anachobakiwa cha kumpa mkewe, na pili huenda hisia za mapenzi kwa mkewe zimeisha tayar,maana kama mtu Hana hisia na wewe tena kwakweli hata kusex na wewe tena ni mtihani,mpaka ajilazimishe na ndio maana waona mpaka mwezi wapita au mara moja Kwa mwezi.

Lakini Hicho kitendo cha jamaa kumlinda au kumtetea Sana mchepuko mpaka kufikia kugombana na mkewe inaonyesha mapenzi makubwa yapo Kwa mchepuko,na kama amedumu nao Kwa miaka mitano basi hapo amefika.

Kwanza ashukuru walau mahitaji mengine anatimiza maana wengine wanaama mazima, sasa awe mkweli kama yeye ndo amechangia Hali hiyo mpaka mumewe kufikia huko basi abadilishe Tabia yake,maana kujua chanzo cha tatizo ndio mwanzo wa kupata tiba yake,Ila kama mume mwenyewe ndio tatizo basi afanye dua/ maombi Kwa wingi kwasababu ndoa yake ni halali na baraka mbele za Mungu hakika Mungu hatomuacha,kama ameweza vumilia miaka yote hiyo basi aendelee kufanya subira huku anafanya maombi zaidi.
 
Ifike kipindi afate yake anavyozidi kumpigia kelele ndivyo anampush, angewapuuzia tu kama anawatoto nadhani ndio faraja ya pekee kama hana kazi basi awe bize kufanya mambo yake,wakati wao wanawaza mapenzi we nunua kiwanja fanya mambo yako,sasa mwanaume anakuhudumia kelele za nini?na nyie marafiki ndo mnawashaurigi wenzenu ujinga
ajiulize tangu aanze kupiga kelele amesaidia nini?
 
Mganga wa nini

Ina maana miaka yote 5 hatongozwi

Muda huu alitakiwa awe na mwanaume wa ukweli alomzidi mumewe hadi dhambi

Mwanamke u akuwaje na mwanaume mmoja? Baba yako huyo? Matokeo akiwa na mchepuko sugu unabaki kuwa single in marriage

Mwambie apoe mwanaume mwenginr...mwenye hela na anayesugua...akipewa show 2 tu za maana atasahau upuuzi wa waganga
Huu sio ushauri, maisha yako yote usije ukashindana na mwanaume, yaani huu ushauri wako ni kuongeza tu matatizo
 
Habari ndugu zangu

Nina rafiki yangu kama Pete na kidole, huyu rafiki yangu amekuwa akiniomba ushauru maranyingi sana kuhusu nda yake mume wa huyu rafiki ajatulia hata kidogo kuna kipindi alikua anabadilisha michepuko lakini ikafikia kipindi akaganda kwa huyo mchepuko huu mwaka wa tano yuko na huyo mchepuko

Rafiki yangu ameongea mpaka amekata tamaa na mbaya zaidi huyo shemeji yangu ataki kabisa mke wake amuongelee huyo mchepuko wake kwa mabaya akijaribu tu kumtukana huyo mchepuko unatokea ugomvi mkubwa sana,

Huyu bwana shemeji majukumu yote ya familia anatimiza isipo kuwa swala la sita kwa sita wanweza kumaliza hata mwenz mzima awajapeana tendo sasa huyu best yangu anataka kutafuta mganga amroge huyo mchepuko pamoja na kumroga mumewe ili asichepuke tena awe wake peke yake naliwasilisha hili kwenu wakuu mumpatie ushauri huyu best yangu
Pole sana na uache kumsingizia best yako
 
Kama anatimiza majukumu yake ya msingi kwanini amroge?? Hapo asimroge unless kama akiwa hatoi matumizi na pia kwenye majukumu ya sita kwa sita atafute na yeye kamchepuko chake ili ngoma iwe droo
 
Back
Top Bottom