Mtanzania mwenye umri wa miaka 60 akamatwa na Mihadarati Ethiopia

Kiboko na mke wake je?

Shikuba mbona yuko nje muda kidogo, kijana wake Tikotiko naye yuko kitaa muda pia.. salama yake ni kwenda kuhukumiwa USA,​
mkewe hakufungwaga...nadhani ndie alietumika kama chambo kumnasa... !

nadhani muda sio mrefu yule jamaa wa migo migo nae watamuachia au pengine wamesha muachia🤣🤣🤣

vidagaa ndio huwa wanafungwa ila mi papa haifungwagi
 
Inaonesha Ethiopia hapapitiki kirahisi na mzigo
Panapitika sana, Mzee alikua na wenge tu...!!!

Nimeshashuhudia mtu akikamatwa hapo Airport ya Ethiopia, alikua mbele yangu kwenye Q, yule Brother alikua hawezi kutulia, kila kitu anatizama yeye, kavaa Kofia flani, Silver kama zote Shingoni.....!

Binafsi nilisema huyu mtu amebeba mzigo, hapo kuna maafisa wapo uwanjani, mmoja mbele na wengine pembeni, kazi yao ni kumtizama abiria mmoja mmoja.....!

Baadaye naona ofisa mmoja kasogea pale ....!

"Hello Sir..... How are you doing today...!?".......

Ikawa Jumapili tena upande habari yake ikaishia hapo...!

Huyo Mzee alikua ana nafasi ya kutoboa, ukizingatia alikua ni Transit, ila ni kitete chake tu ndo kimemkamatisha....!
 
Shikuba mbona yuko nje muda kidogo, kijana wake Tikotiko naye yuko kitaa muda pia.. salama yake ni kwenda kuhukumiwa USA,​
mkewe hakufungwaga...nadhani ndie alietumika kama chambo kumnasa... !

nadhani muda sio mrefu yule jamaa wa migo migo nae watamuachia au pengine wamesha muachia🤣🤣🤣

vidagaa ndio huwa wanafungwa ila mi papa haifungwagi
Kiboko ni mwingine sio shkuba... Huyo kiboko kambi yake ilikuwa tegeta
 
Back
Top Bottom