Mtanzania mwenye umri wa miaka 60 akamatwa na Mihadarati Ethiopia

Ule mkoa wa TANGA unachukuliwa poa sana sana lakini katika mikoa ina watu wana dili kharamu Tanga stop ,

Cha kushangaza sasa wale mafia wote wauza unga wa Tanga na madili meusi huwakosi kwenye manyumba ya ibada na huwa wanapewa mpaka kusalisha.
 
MKuuu KULE NDIO KULEE MAPITIO YAO SIJUI WALIBADILI VIONGOZI WAKAJA BA SHERIA KALI SANA ANAEKAMATWA NA MADAA WEWEE WOTE WAKAKIMBIA HIO NJIA HUYU FALA NAHISI ALIJISAHAU MASIKNI
Sasa Transit ukikamatwa si uzembe wako tu, huyo wenge ndo lilimponza.
 
Transist kitaifa kama Ethiopia wanamshikilia ivo, vitaifa vingine vya ajabu sana..........nchi aliyotoka na anayo kwenda imewapa jamaa Green light......hizi nchi Brazill, Mexico, Pakstan, Malaysia, ni waasisi na big manufacturer wa dawa.

Huyu mzee kameza kg 1.3 ni sawa na kilo moja na robo ivi, huu mzigo unavomeza unakuwa na masharti kwenye kula mpaka utapo fika kwa afya yake mbona shughuli.

Anaonekana kachoka vibaya sana mithili ya punda.......

Ila Tanga ni vinara kwa hii biashara, kina Yanga Omary walishatoka???? Tanga alisumbua sana, matajiri wengi wa Tanga wanapush hii cargo.......afu watu wanakuja kusema waislamu wanaongoza 😅😅😁😁 niwaambie tu ni kwa hapa Tanzania wao ndo wauzaji wakubwa.
 
Back
Top Bottom