Mtaka umesifiwa mbio mpaka umepapita kwenu.

Kipindi ameondolewa Dodoma watu wakalalamika humu, probably wenye maslahi nae, niliandika humu the guy si overrated.

Mtaka ana haiba ya kupendeza, lakini haimaanishi ni kiongozi mzuri, tatizo la waTz huwa wanadhani kiongozi anayefaa ni yule wanaye mpenda "kimahaba". šŸ—‘
SamĆ hani Mkuu Mimi ni mmoja wa waliokupinga. Leo Nakiri ulikuwa sahihi Sana.
 
Rc anakosea sana, walioanza kazi mwaka huu wana fear of future, wanawaona maveteran wanavyo pata shida baada ya kustaafu. Wanachohoji ni usalama wa mafao yao in the future
Huu ndo ukweli. Halafu anatokea mlevi mmoja aliyebebwa bebwa kisiasa hahusiki na mafao baada ya miaka 60 anawafokea wanaodai haki zĆ o? Tukisema ukuu wa mkoa ni vyeo vya Takrima yeyote anaweza kupewa wananuna.
 
Mkuu wa mkoa wa Njombe Antony John Mtaka umekuwa ukisifiwa na wengi Kwa kauli imara za kiongozi. Nakufahamu vizuri, wewe ulianza kama Polisi na ukaacha kazi mara ulipopewa nafasi ya kuwa mkimbiza mwenge kitaifa ukiwa Askari mwenye cheo cha Sgt.
Wewe kama Mtumishi wa Umma msomi unajua na wataalamu wa mafao wanafundisha na kuelekezwa kwamba kustaafu kunaanza siku unapoajiriwa. Kwamba Mtumishi anatakiwa kujiandaa kustaafu siku anayoajiriwa. Kustaafu kupo Kwa Aina 2, kustaafu Kwa hiari na kustaafu Kwa lazima. Kustaafu kutatokea Kwa umri wa lazima au Kwa hiari ya Mtumishi Kwa Muda Ć mbao hiari hiyo imetajwa na sheria. Lakini kuna mazingira ambayo kinadharia ni Sawa tu na kustaafu maana baada ya matukio hayo Mtumishi anastahili mafao. Mazingira hayo ni;
1.Kifo ukiwa ajirani.
2.Kufukuzwa kazi.
3.Kuacha kazi.
Mazingira yote niliyotaja hapo juu Mtumishi anapaswa kuyajua na kuyatafakari mara tu anapopata ajira.
Sasa inakuwaje Mh Mtaka uwazodoe watumishi wanaoajiriwa na kuanza kujadili madhara ya Kikokotoo? Unataka waanze lini kujadili maslahi yao? Au sheria inataja Muda maalum wa Mtumishi kuanza kujadili mafao yake?
Binafsi naona tabia ya viongozi wa serikali ya CCM kuwaona wengine hawana akili Ila nyie pekee imeanza kukuingia na wewe. Wataalamu toka mifuko ya hifadhi ya Jamii wamekuwa wakitoa semina mbalimbali kuhusu kustaafu na wanasisitiza hili Kwa watumishi kujiandaa kustaafu. Wanasema mwajiriwa yeyote ni mstaafu mtarajiwa, lakini mwenzetu unaanza kuwapangia watumishi namna ya kuwaza na kuendesha maisha Yao. Nini kimekupata ghafla na ulitegemewa na wengi Kwa nafasi kubwa zaidi ya ukuu wa mkoa?
Ulipotolewa Dodoma kupelekwa Njombe wengi tulishangaa. Mtu mmoja akaandika humu JF "Mnaoshangaa hamumjui Mtaka, ni mbinafsi asiyeamini mawazo ya wengine". Nilimpinga Sana Kwa sababu Mimi nilikuchukulia tofauti. Naanza kuamini alikuwa sahihi. Tabia ya kuzuia watu kujadili yanayowahusu na kuwataka wasubiri maamuzi ya serikali ni unyanyasaji wa Muda mrefu unaofanywa na Viongozi wa serikali.
Acheni Tabia hii ya kudhani unapoteuliwa kuwa kiongozi mahali basi unatawala mpaka uwezo wa watu kufikiri na kupanga maendeleo yao.
UMESIFIWA UNAKIMBIA SANA ANGALIA USIPITILIZE KWENU.
Humfahamu vizuri- wewe siyo mungu wake wala mama yake ACHA KUJIMWAMBAFY
 
kufanya kazi kwa stress, ama kufanya kazi bila stress au kutokufanya kazi kabisaa ni uamuzi binafsi wa mtu, kulingana na alivyopiama manufaa na hasara ya atakachoaamua kukifanya. Hakuna haja ya ushauri, life forces na life realities zitakusukuma tu uamue mwenyewe šŸ’

Muhimu ni kuondoa hofu na woga na kuvaa ujasiri na bidii huku ukimshirikisha Mungu katika kila hatua, nyepesi au ngumu lazma utoboe. kuliko unafanya kazi huku unanung'unikašŸ’
Sasa mbona unasema aache kazi? Hakuna mwajiriwa anayekubaliana kwa asilimia mia masharti ya mikataba ya ajira, vifungu vingine anamezea.
 
Kutele
Mkuu wa mkoa wa Njombe Antony John Mtaka umekuwa ukisifiwa na wengi Kwa kauli imara za kiongozi. Nakufahamu vizuri, wewe ulianza kama Polisi na ukaacha kazi mara ulipopewa nafasi ya kuwa mkimbiza mwenge kitaifa ukiwa Askari mwenye cheo cha Sgt.
Wewe kama Mtumishi wa Umma msomi unajua na wataalamu wa mafao wanafundisha na kuelekezwa kwamba kustaafu kunaanza siku unapoajiriwa. Kwamba Mtumishi anatakiwa kujiandaa kustaafu siku anayoajiriwa. Kustaafu kupo Kwa Aina 2, kustaafu Kwa hiari na kustaafu Kwa lazima. Kustaafu kutatokea Kwa umri wa lazima au Kwa hiari ya Mtumishi Kwa Muda Ć mbao hiari hiyo imetajwa na sheria. Lakini kuna mazingira ambayo kinadharia ni Sawa tu na kustaafu maana baada ya matukio hayo Mtumishi anastahili mafao. Mazingira hayo ni;
1.Kifo ukiwa ajirani.
2.Kufukuzwa kazi.
3.Kuacha kazi.
Mazingira yote niliyotaja hapo juu Mtumishi anapaswa kuyajua na kuyatafakari mara tu anapopata ajira.
Sasa inakuwaje Mh Mtaka uwazodoe watumishi wanaoajiriwa na kuanza kujadili madhara ya Kikokotoo? Unataka waanze lini kujadili maslahi yao? Au sheria inataja Muda maalum wa Mtumishi kuanza kujadili mafao yake?
Binafsi naona tabia ya viongozi wa serikali ya CCM kuwaona wengine hawana akili Ila nyie pekee imeanza kukuingia na wewe. Wataalamu toka mifuko ya hifadhi ya Jamii wamekuwa wakitoa semina mbalimbali kuhusu kustaafu na wanasisitiza hili Kwa watumishi kujiandaa kustaafu. Wanasema mwajiriwa yeyote ni mstaafu mtarajiwa, lakini mwenzetu unaanza kuwapangia watumishi namna ya kuwaza na kuendesha maisha Yao. Nini kimekupata ghafla na ulitegemewa na wengi Kwa nafasi kubwa zaidi ya ukuu wa mkoa?
Ulipotolewa Dodoma kupelekwa Njombe wengi tulishangaa. Mtu mmoja akaandika humu JF "Mnaoshangaa hamumjui Mtaka, ni mbinafsi asiyeamini mawazo ya wengine". Nilimpinga Sana Kwa sababu Mimi nilikuchukulia tofauti. Naanza kuamini alikuwa sahihi. Tabia ya kuzuia watu kujadili yanayowahusu na kuwataka wasubiri maamuzi ya serikali ni unyanyasaji wa Muda mrefu unaofanywa na Viongozi wa serikali.
Acheni Tabia hii ya kudhani unapoteuliwa kuwa kiongozi mahali basi unatawala mpaka uwezo wa watu kufikiri na kupanga maendeleo yao.
UMESIFIWA UNAKIMBIA SANA ANGALIA USIPITILIZE KWENU.
Kuteleza kwa ulimi kupo!
 
Hao ndio wana ccm sasa likitoka hapo linamsifia mama yao bibi chau kuji hakikishia nafasi yake wananchi wanaendelea kuteseka
 
Back
Top Bottom