Kwanini msafara wa Rais unasafiri kwa spidi kubwa na nchi nyingine wapo kama sisi?

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
2,758
3,322
Picha linaanza magari yanaweza kufika hata 20 alafu barabara nzima wapo wao wanakimbia kwa kasi kubwa mno, hivi why tunaambiwa mwendo mkali unaua wakati wao viongozi wakuu wanakimbizana kama magari ya mbagala rangi tatu?

Nchi nyingine wapo na mfumo huu?
 
duhh!magari 20?
huo ni msafara wa RC labda au kigogo mwingine
Msafara wa rais mpaka 50 na zaidi
 
Back
Top Bottom