Msaada Zoom interview

RUKUKU BOY

JF-Expert Member
Sep 8, 2015
1,479
1,674
Hello mambers,

Naomba sana msaada wenu, niliomba kazi kwenye shirika moja la wa Norway, juzi nikatumiwa email kuwa nimekuwa shortlisted hivyo nitafanya interview via zoom.

Naomba kuuliza maana nilipewa link lakini nki-click ata hai-load. Na je unaweza kufanya zoom Kwa kutumia simu na sio computer? Na je itabidi uwe na Zoom app kwenye simu Yako?

Na je Meeting ID, na passcode zinamaanisha Nini?

Nisaidie wakuu nisije kuhaibika mbele ya wa Norway.
 
Ngoja wake kukupa mwongozo

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Nikiwa na bundle la mawazo huwa natumia simu tu na inafanya kazi fresh.. Ila cha msingi fanya testing ili ujue position ya simu itakayokufanya uonekane vizuri katika video call. Pc haina hii shida kwa sababu ni kubwa zaidi kwa hiyo itakutoa fresh

Download zoom app, anzisha account yako kama social media tu au email inavyokuwa. Then click hiyo link itakayopeleka moja kwa moja katika app na hivyo utajoin directly kwenye interview

Meeting ID na passcode ni utambulisho wako tu ili mtu aliyeweka appointment nawe ajue, katika hiyo interview ya muda flani anafanya interview na candidate flani ndio maana ukiingia tu, utakuta majina yako na Job post vinaonekana..

Na pia hizo zinatumika kama unatumia labda laptop au kifaa ambacho hauna access ya ku_click hiyo link directly from an email kwenda kwa app. Hivyo ukifungua app, utakutana na sehemu ya kuingiza passcode na meeting ID manually.. Hivyo tu, hata sio kitu vigumu.. All the best mkuu
 
Kwa shughuli kama interview nakushauri utumie PC.

Meeting ID ni namba pekee ya mkutano wako ulioalikwa (kama namba ya mualiko) si kila mtu ataweza kuingia na kuona hiyo interview yako ndio maana wamekupa passcode ambayo ni kama neno siri linalokuwezesha kuingia kwenye mkutano waliokualika.

Kwenye zoom tafuta mahali pameandikwa join itakuletea form ya kuingiza meeting ID na Passcode.

home-screen.png

EnterID (1).png
 
Asante

Asante sana mkuu, nime install zoom app, ila link niliyopewa nki-click hai-load, je Kuna shida au link itakuwa active tarehe ya interview
 
View attachment 2974958
View attachment 2974959
Asante mkuu, hii join a meeting naingiza Meeting ID siku ya interview au ata sahivi naweka tu hakuna shida.
 
Asante

Asante sana mkuu, nime install zoom app, ila link niliyopewa nki-click hai-load, je Kuna shida au link itakuwa active tarehe ya interview
Jaribu kuingiza hizo passcode na meeting ID manually hone kama itakubali.. Link huwa ipo active muda wote
 
Hadi tarehe na mda wa inteview ndo utaweza kutumia hizo details ilozotumiwa! Sahivi focus na kufanya maandalizi kwa ajili ya interview!
 
Mmm zikizingua? Maana link haikubali
Jaribu kuingiza hizo passcode na meeting ID manually hone kama itakubali.. Link huwa ipo active muda wote
Nimeingiza izo Meeting ID imekubali ila Link haifunguki.
 
Mmm zikizingua? Maana link haikubali

Nimeingiza izo Meeting ID imekubali ila Link haifunguki.

Bhasi tumia hiyo password na meeting ID, yawezekana aliyeiweka labda kuna kitu kakosea..
Fanya hivyo ili norway isikupite mkuu 🙏🏽😁
 
Ooh sawa mkuu, so nkitaka kui-install zoom Kwa PC, naidownload via Google? Na je niwaombe wanitumie upya link au ntumie Meeting ID tu.
 
Kama option ipo hakuna haja ya kuwarudia unless mtu aliyekutumia email tayari ushaongea nae kwenye simu. Hiyo itakuwa rahisi lakini kama umetumiwa tu email. Mlolongo utakuwa mkubwa na baadhi ya interviewers wapo sensitive kupitiliza so, kitu kidogo tu wanaanza kukutilia shaka

So nenda kwa safe side, japo nahisi hilo shirika ni NV TZ.. Kama ni hao, wapo polite sana
 
Tumia laptop/desktop yenye camera; iwe na mtandao, bonyeza link, weka ID; kwa majaribio unaweza kufanya hivyo hakuna shida.
Ila haya mashirika ya nje hayanaga zile propaganda za upinde kweli?​
 
Link inazingua ila nkitumia meeting ID iko poa, issue ni jinsi ya kui-install zoom Kwa PC,nafanyaje maana kwavPC hamna play store
 
Kama option ipo hakuna haja ya kuwarudia unless mtu aliyekutumia email tayari ushaongea nae kwenye simu. Hiyo itakuwa rahisi lakini kama umetumiwa tu email. Mlolongo utakuwa mkubwa na baadhi ya interviewers wapo sensitive kupitiliza so, kitu kidogo tu wanaanza kukutilia shaka

So nenda kwa safe side, japo nahisi hilo shirika ni NV TZ.. Kama ni hao, wapo polite sana
Asante Sana mkuu, na nkitaka kui-install zoom kwenye PC yangu naingilia wap maana PC haina play store
 
Kama option ipo hakuna haja ya kuwarudia unless mtu aliyekutumia email tayari ushaongea nae kwenye simu. Hiyo itakuwa rahisi lakini kama umetumiwa tu email. Mlolongo utakuwa mkubwa na baadhi ya interviewers wapo sensitive kupitiliza so, kitu kidogo tu wanaanza kukutilia shaka

So nenda kwa safe side, japo nahisi hilo shirika ni NV TZ.. Kama ni hao, wapo polite sana
Sorry mkuu zoom ya 50min, bando la 500m, linatosha?
 
Back
Top Bottom