Msaada wa maswali ya written interview ya TRA nafasi ya ICT Technician

root255

Member
Sep 1, 2020
8
10
Hello wana JF,

Naomba msaada wa ideas za maswali ya written kwa nafasi ya ICT Technician kwa TRA.

Kwa aliewahi kufanya je utumishi wanauliza nini, na je ni current issues gani za kupitia hasa?

Asanteni
 
Sasa hivi wapo kimya waanahasira wamekatwa vichwa na wajumbe wa Dodoma. Ndio maana kumepoa humu sio kama Takukuru .
 
Hello wana JF,

Naomba msaada wa ideas za maswali ya written kwa nafasi ya ICT Technician kwa TRA.

Kwa aliewahi kufanya je utumishi wanauliza nini, na je ni current issues gani za kupitia hasa?

Asanteni
Vijana wa siku hizi kila kitu mnataka desa/chabo!

Umesoma kwa madesa!kazi unatafuta kwa madesa! Sasa kweli hayo ma Tekinolojia huko kazini si itakuwa madudu matupu.
 
Kama ulisoma na ukafaulu kihalali na ulielewa ulichosoma interview kitu kidogo
 
Tafuta matoto ya wafanyakazi wa utumishi au ya viongozi, hayo mazezeta yao hayakosagi possible na hata wakienda interviews ni kwa ushaidi tuu.
 
Mkuu inatagemeana wanauliza general questions za kupima experience kwa mfano unaweza kuulizwa "new" keyword is in
python, java and c or b) java, php and python c) java, c# and php

au unaeza ukapewa program yoyote in c, php or java ukaambiwa taja output yake
 
Back
Top Bottom