Msaada wa tatizo la fungus/upele kwenye vidole vya mikono

Albdan

New Member
Jan 27, 2017
4
0
Habari wanajamvi wote wa Jf?? poleni kwa majukumu yenu ya kila siku nina jambo/tatizoo napenda kushare n kwa yeyote mwenye ujuzi nalo tunaomba msaada
kwa ufupi nina tatizo la ngozi (upele/fungus) kwenye mwili wangu especially on hand fingers(see attachment),

Hili ni tatizo la mda mrefu kwangu tangu nazaliwa/udogo wangu ambapo nlikuwa affected sehemu za mikunjo ya mikono, nyuma ya magoti, shingoni na begani licha ya kuhudhuria hospitals bila mafanikio ya moja kwa moja.

Bahati nzuri nilipoendelea kukua ndipo athari za ngozi ziliendelea kupungua adi kufikia mda huu bado nasumbuliwa sehemu za vidole vya mkono inaonesha tatizo bado ni sugu. Kwa ushauri wa madaktari nimejaribu kutumia baadhi ya dawa za kupaka mfano ELYVATE, TIOCON, ENTEZMA, CLODERM n.k pia na kumeza vidonge vya allergies na minyoo pasipo mafanikio

Nimehangaika sana hospitals kuhusu hili tatizo na mwisho wa siku vidole vimekuwa sugu na mara ya mwisho nimemuona skin specialist amenambia nina tatizo la pumu ya ngozi (ECZEMA), bila shaka hili tatizo mie si mtu wa kwanza kuumwa kuna baadhi mlikuwa affected na mlipona ama kuna wataalamu mtakaoweza kunisaidia tiba ya pumu ya ngozi mana nakosa raha kuexpose vidole mbele za watu hasa mahala pa kazini kwangu.

Nitashkuru sana kwa mawazo yenu kuhusu hili tatzo

Nawasilishaa
 
Attachments

  • IMG_20171212_203741.jpg
    IMG_20171212_203741.jpg
    135.4 KB · Views: 266

Back
Top Bottom