Joseph mato
New Member
- May 15, 2023
- 2
- 1
Habari wana jamii forums naombeni msaada jamani mwenzenu nina tatizo sugu kuna vipele vinanitoka kwenye mkunjo wa mkono ni vidogodogo ila vinawasha sana na nikikaa bila kushiliki ngono vinapotea ila nikishiliki tena vinarudi nimeshatumia sana dawa za kupaka na baadhi ya vidonge.