Natafuta Daktari wa tatizo la Kucha kuingia kwenye vidole vya Miguu

Tankile

Member
Apr 6, 2024
7
4
Ndugu zangu kwema?

Nina changamoto kubwa, sasa ni mwaka wa tatu toka 2022 kucha zangu za vidole gumba vya miguu zinachimba ndani na kunifanya vidole vyangu kupata vidonda visivyopona hivyo naombeni sana mtu anayemfahamu mtaalamu au daktari bingwa ama hospitali inayotibu hii changamoto niweze kwenda.

Kwa maana nimeenda hospital tofauti nimetolewa kucha lakini sikufanikiwa kupona kabisa hivyo naishi na maumivu makali ya muda mrefu sana.

20240319_215209.jpg
 
Pole sana, tovuti ya icliniq inaweza kuwa msaada kwako kuna madaktari bingwa wa kila aina.
 
Heri wewe umeipata ukubwani, mi nmehangaika nayo tangu nazaliwa.
The only trick sio kuzitoa huzo kucha, what you do nenda kwa wale wataalam wanaodeal na kucha za wanawake, wanaenda wanakabetua katoke nje.. alaf unaiacha iote iwe ndefu kabisa.
After hapo unakua unakata kwa juu tu, usifike chini ambako ikianza kukua itatumbukia kwenye hyo nyama ya kidole
 
Habari,
Pole na madhira. Kwa hapo ilipo ni ngumu kuinyanyua.

Labda afanyiwe kupunguzwa/kutoa hiyo iliyozama tayari bande zote mbili au atoe wote ndo atanyanyua wakati unaota ili ukucha upite juu.

Pia, kutokutumia viatu vinavyobana. Daktari wa kawaida au wa upasuaji anaweza kufanya hii kazi.
20240407_123348.png
 
Pole sana, tovuti ya icliniq inaweza kuwa msaada kwako kuna madaktari bingwa wa
Habari,
Pole na madhira. Kwa hapo ilipo ni ngumu kuinyanyua.

Labda afanyiwe kupunguzwa/kutoa hiyo iliyozama tayari bande zote mbili au atoe wote ndo atanyanyua wakati unaota ili ukucha upite juu.

Pia, kutokutumia viatu vinavyobana. Daktari wa kawaida au wa upasuaji anaweza kufanya hii kazi.
View attachment 2956314
Nilishawahi kutolewa kucha nzima lakini imerejea tena
 
Heri wewe umeipata ukubwani, mi nmehangaika nayo tangu nazaliwa.
The only trick sio kuzitoa huzo kucha, what you do nenda kwa wale wataalam wanaodeal na kucha za wanawake, wanaenda wanakabetua katoke nje.. alaf unaiacha iote iwe ndefu kabisa.
After hapo unakua unakata kwa juu tu, usifike chini ambako ikianza kukua itatumbukia kwenye hyo nyama ya

Heri wewe umeipata ukubwani, mi nmehangaika nayo tangu nazaliwa.
The only trick sio kuzitoa huzo kucha, what you do nenda kwa wale wataalam wanaodeal na kucha za wanawake, wanaenda wanakabetua katoke nje.. alaf unaiacha iote iwe ndefu kabisa.
After hapo unakua unakata kwa juu tu, usifike chini ambako ikianza kukua itatumbukia kwenye hyo nyama ya kidole
Ahsante sana ngoja nitakwenda.
 
Natafuta Daktari wa Kutibu tatizo la kucha kukua Ingrowing Nail kwa Dar es salaam naombeni sana msaada nateseka.
 
Attachments

  • 20240319_215209.jpg
    20240319_215209.jpg
    1.4 MB · Views: 3
Nilikuwa na tatizo kama lako utotoni, ila limeisha kabisa
Nakumbuka hospital walinikata huko pembeni vizuri na nilifundishwa jinsi ya kukata kucha na baada ya kufata maelekezo niliyopewa tatizo halikujirudia tena
 
Dah...pole mkuu

Una vidole vizuri maashaAllah.....isipokuwa hcho 1 tu.

Sina cha kukushauri....mana sijui chochote khs ttz lako
 
Nilikuwa na tatizo kama lako utotoni, ila limeisha kabisa
Nakumbuka hospital walinikata huko pembeni vizuri na nilifundishwa jinsi ya kukata kucha na baada ya kufata maelekezo niliyopewa tatizo halikujirudia tena
Kwahiyo umekuja kumtambia jamaa??
Hospitali gani?
Unakataje hizo kucha?
Tatizo lako lilikua vipi na ulitibiwa vipi.?
 
Uko sahihi,shida inaanzia na jinsi unavyokata kucha zako,na ndio maana unasema tatizo limeanza muda si mrefu.Kucha ukiikata sana kwenda ndani huwa inabadili muelekeo,badala ya kukalia edge ya kidole inachimba kuanzia pale ilipoishia,angalia pia watu wenye tabia ya kula kucha za vidole,huwa zinabadilika kabisa ule mwenendo wake wa ukuaji...
 
Ndio mkuu, kutojua jinsi ya kukata kucha vizuri ndio kunazalisha tatizo. Mi nilipata maelekezo nikiwa darasa la 3 na mpaka leo niko okay
 
Kwahiyo umekuja kumtambia jamaa??
Hospitali gani?
Unakataje hizo kucha?
Tatizo lako lilikua vipi na ulitibiwa vipi.?
Lilikuwa hivyohivyo kama lake. Vidole gumba vyote viwili ndio vilikuwa vimeathirika. Nilipelekwa kwa Dr Andrew, hii hospital ilikuwa mtaani kwetu, kwa wakazi wa kinondoni shamba hasa maeneo ya ada estate watakuwa wanaijua vizuri japo sijui kama bado ipo mpaka leo hii. Nilikuwa bado mtoto mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom