Tankile
Member
- Apr 6, 2024
- 7
- 4
Ndugu zangu kwema?
Nina changamoto kubwa, sasa ni mwaka wa tatu toka 2022 kucha zangu za vidole gumba vya miguu zinachimba ndani na kunifanya vidole vyangu kupata vidonda visivyopona hivyo naombeni sana mtu anayemfahamu mtaalamu au daktari bingwa ama hospitali inayotibu hii changamoto niweze kwenda.
Kwa maana nimeenda hospital tofauti nimetolewa kucha lakini sikufanikiwa kupona kabisa hivyo naishi na maumivu makali ya muda mrefu sana.