Ulitaka iweje?Jamani mi nimekuja kuomba ushauri tu. Nashangaa ni kashfa na matusi. Kama mtu huwezi nisaidia ni sawa kaa tu kimya. Mi binafsi nimejuta na sintakaa nirudie. Naomba Mungu sana anitoe hapa salama. Kama mtu unaweza nishauri ni vizuri zaidi. Matusi hayanisaidii kitu. Imagine uko kwenye hali kama yangu bro... Mi binafsi sikutaka iwe hivi.