Bongotunacheza
JF-Expert Member
- Dec 7, 2018
- 750
- 1,722
Wakuu heshima kwenu, Nina ndugu yangu yupo Mwanza mjini. He is a black sheep in our family. MATENDO Na vituko anavyo vifanya tumejidhihirisha kwamba ana matatizo ya akili.
Amevuta bangi Kwa Muda mrefu Sana ( Thanks God hatumii cocaine)
Huko Mwanza ni Kwa Bibi kizaa mama. Nyumbani kwetu ni Dar ES salaam.
Mwanza alienda mwenyewe, Na hapo Kwa Bibi kizaa mama amezingua Sasa hivi anakaa Kwa Bibi yetu WA kambo ( mke mwingine wa babu/ can u imagine this kind of disgrace and embarrassment to our family)
Huko nako amekuwa ni matukio juu ya matukio. Tumempa mafuta ya Mwamposa Hadi tumekoma. Tumeenda karibu Kila Mahali all in vain.
Kibaya Zaidi ni kwamba ameanza tabia ya wizi, tunahofia anaweza kuuwawa.
So Mimi nimesuggest kwamba apelekwe kwenye wodi ya vichaa Kwa ajili ya usalama wake akae huko hata Kwa mwaka mmoja.
Kwa mienendo yake najua akipmwa akili lazima atakutwa Tu something is missing in his head.
Please Kwa mwenye ufahamu Na experience, Ni upi utaratibu wa kumpeleka mtu wodi ya vichaa.
Nini zitakua faida Na hasara?
Msaada wenu tafadhali