jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,071
- 28,267
Hongera kwako Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan kwa kusimama kidete na hatimaye mradi huu mkubwa wa kimkakati na uliopigwa vita na Wakoloni, Wakoloni mamboleo,vibaraka wa wakoloni na wasiojitambua ...hatimaye umekamilika na umeanza kutoa huduma.
Mradi huu ni mkombozi wa nchi na kamwe kama mzalendo na mpenda nchi usidanganywe wala kubabaishwa na punguani wachache.
Umeme unaenda kuwaka nchi nzima kupitia mradi huu...nchi inaenda kuamka na kufanya kazi usiku kupitia mradi huu.
Wapo wapuuzi wachache watakaotumia mbinu zote kuuchafua mradi huu ikiwemo B.B.C n.k kama tulivyozoea hilo ni lazima walifanye na lilitegemewa.
Wapo wajinga (sio Jingalao) watakaotaka kuupotosha umma.
REJEA
"Ipo clip moja ya Mr Bean ambayo aliiingia hotelini na kuagiza chakula asichokifahamu kutoka kwenye menyu..bila kujua chakula hiko kina pilipili balaa.,aliposhindwa kukila alitafuta njia ya kukimwaga ikakosekana,akaanza kuangalia wapi anaweza kukificha.
alifankiwa kuanza kukificha chini ya sahani,chini ya kiti,meza za pembeni n.k.
Baada ya kuficha na baada ya muda kupita ikatokea mhudumu akaja kumpa huduma na kwa bahati mbaya mhudumu akajigonga bahati mbaya kwenye meza ya Mr. Bean akamwaga baadhi ya vinywaji na chakula...kilichofuatia sasa ...Mr bean akatumia fursa na kuanza kumsingizia mhudumu kuwa amemwaga chakula kila mahali ikiwemo chini ya sahani!!!.
#Hoja yangu muhimu #
Hakuna atakayeipenda Tanzania ifanikiwe zaidi ya wazalendo wachache(sio wananchi wote)
Wapo wapuuzi wachache wanaoendekeza tumbo lao watakaotumika kama kiungo cha uhujumu wa mradi.
Walami/ Wazungu/ Wakoloni na wote waliotupumbaza eti mradi wa Bwawa la Mwalimu nyerere hauwezekani kukamilika wamechukia na kamwe hawaamini yanayotokea na hivyo watatumia mbinu zote kuubagaza.
Serikali inakuwa Serikali pale ambapo inafanya maamuzi mazito kwa maslahi ya wengi .
HITIMISHO
mradi huu umekamilika sasa ni vyema vikosi vyote vya Ulinzi na Usalama vikapelekwa eneo hili kwa Ulinzi kamilifu wa mradi huu.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!!