chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 12,281
- 21,075
Nadhani tusiangalie binadamu tu, bwawa la Mwalimu Nyerere limejengwa katikati ya Mbuga ya Wanyama, haya mafuriko yanawaathiri kiasi gani?
Hii ni hifadhi ambayo iko katika orodha ya hifadhi zenye maliasili adhimu. Wizara ya maliasili, mnasemaje?
Pia hifadhi hii ina madini ya urani (uranium), kama nchi tuliangalia hili ili lisiingiliane na mradi kwa kuyachokonoa madini ya urani huko chini ya ardhi?
Katika wakandarasi wanaojenga mradi, nani amekabidhiwa kitengo ya kandarasi ya mazingira?