Mradi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere umekamilika hakuna propaganda ya kuuzuia tena

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
Hongera kwako Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan kwa kusimama kidete na hatimaye mradi huu mkubwa wa kimkakati na uliopigwa vita na Wakoloni, Wakoloni mamboleo,vibaraka wa wakoloni na wasiojitambua ...hatimaye umekamilika na umeanza kutoa huduma.

Mradi huu ni mkombozi wa nchi na kamwe kama mzalendo na mpenda nchi usidanganywe wala kubabaishwa na punguani wachache.

Umeme unaenda kuwaka nchi nzima kupitia mradi huu...nchi inaenda kuamka na kufanya kazi usiku kupitia mradi huu.

Wapo wapuuzi wachache watakaotumia mbinu zote kuuchafua mradi huu ikiwemo B.B.C n.k kama tulivyozoea hilo ni lazima walifanye na lilitegemewa.

Wapo wajinga (sio Jingalao) watakaotaka kuupotosha umma.

REJEA
"Ipo clip moja ya Mr Bean ambayo aliiingia hotelini na kuagiza chakula asichokifahamu kutoka kwenye menyu..bila kujua chakula hiko kina pilipili balaa.,aliposhindwa kukila alitafuta njia ya kukimwaga ikakosekana,akaanza kuangalia wapi anaweza kukificha.

alifankiwa kuanza kukificha chini ya sahani,chini ya kiti,meza za pembeni n.k.

Baada ya kuficha na baada ya muda kupita ikatokea mhudumu akaja kumpa huduma na kwa bahati mbaya mhudumu akajigonga bahati mbaya kwenye meza ya Mr. Bean akamwaga baadhi ya vinywaji na chakula...kilichofuatia sasa ...Mr bean akatumia fursa na kuanza kumsingizia mhudumu kuwa amemwaga chakula kila mahali ikiwemo chini ya sahani!!!.

#Hoja yangu muhimu #
Hakuna atakayeipenda Tanzania ifanikiwe zaidi ya wazalendo wachache(sio wananchi wote)
Wapo wapuuzi wachache wanaoendekeza tumbo lao watakaotumika kama kiungo cha uhujumu wa mradi.

Walami/ Wazungu/ Wakoloni na wote waliotupumbaza eti mradi wa Bwawa la Mwalimu nyerere hauwezekani kukamilika wamechukia na kamwe hawaamini yanayotokea na hivyo watatumia mbinu zote kuubagaza.
Serikali inakuwa Serikali pale ambapo inafanya maamuzi mazito kwa maslahi ya wengi .

HITIMISHO
mradi huu umekamilika sasa ni vyema vikosi vyote vya Ulinzi na Usalama vikapelekwa eneo hili kwa Ulinzi kamilifu wa mradi huu.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!!
 
Vipi maumivu ya kifo cha KAYAFA bin Jiwe yameisha au bado unajiuguza?
Hizi mentality za kuonewa wivu, sijui wasiopenda maendeleo,mara vibaraka na mengine mengi hutoks kwa watu wajinga na wapumbavu.
Jadili mada
 
kuna sehemu nimetaja wivu au unajichechetua tu
Maelezo yako yote yanaonyesha kama huo mradi ni homa kwa wazungu, yaani mradi wa 2,115m ndio uonewe wivu na mzungu? Bado una mitazamo ya propaganda za post colonial, ndio maana umeleta bandiko refu la kujishuku.
 
Jadili mada
Mada si ndo hii nimejadili au unataka kunipangia cha kuandika? Halafu kwanini huwa hampendi kukubali kukosolewa na kupokea mawazo mbadala? Jiwe japo alimiliki PhD lakini alikua mjinga na mshamba wa kutupwa utasema hajawahi kanyaga hata madarasa ya shule ya msingi!! Aliamini sana kwenye uchawi, ubabe,imani za kitumwa na ujinga mwingine mwingi ambao unaligharimu taifa kwa sasa!

Watu wema hawapendi giza hata siku moja. Hakuna asiyependa bwawa la umeme watu walitoa mawazo mbadala ili kuleta ufanisi zaidi katika utekelezaji. Ni mapema sana kuja hapa kuanza kujifaragua ikiwa bwawa ndo kwanza limewashwa mtambo mmoja.
 
Hongera kwako Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan kwa kusimama kidete na hatimaye mradi huu mkubwa wa kimkakati na uliopigwa vita na Wakoloni,Wakoloni mamboleo,vibaraka wa wakoloni na wasiojitambua ...hatimaye umekamilika na umeanza kutoa huduma.
Mradi huu ni mkombozi wa nchi na kamwe kama mzalendo na mpenda nchi usidanganywe wala kubabaishwa na punguani wachache.

Umeme unaenda kuwaka nchi nzima kupitia mradi huu...nchi inaenda kuamka na kufanya kazi usiku kupitia mradi huu.

Wapo wapuuzi wachache watakaotumia mbinu zote kuuchafua mradi huu ikiwemo B.B.C n.k kama tulivyozoea...hilo ni lazima walifanye na lilitegemewa.

Wapo wajinga(sio Jingalao ) watakaotaka kuupotosha umma.

REJEA
"Ipo clip moja ya Mr Bean ambayo aliiingia hotelini na kuagiza chakula asichokifahamu kutoka kwenye menyu..bila kujua chakula hiko kina pilipili balaa.,aliposhindwa kukila alitafuta njia ya kukimwaga ikakosekana,akaanza kuangalia wapi anaweza kukificha.
alifankiwa kuanza kukificha chini ya sahani,chini ya kiti,meza za pembeni n.k.
Baada ya kuficha na baada ya muda kupita ikatokea mhudumu akaja kumpa huduma na kwa bahati mbaya mhudumu akajigonga bahati mbaya kwenye meza ya Mr.bean akamwaga baadhi ya vinywaji na chakula...kilichofuatia sasa ...Mr bean akatumia fursa na kuanza kumsingizia mhudumu kuwa amemwaga chakula kila mahali ikiwemo chini ya sahani!!!.

#Hoja yangu muhimu #
Hakuna atakayeipenda Tanzania ifanikiwe zaidi ya wazalendo wachache(sio wananchi wote)
Wapo wapuuzi wachache wanaoendekeza tumbo lao watakaotumika kama kiungo cha uhujumu wa mradi.
Walami/Wazungu/Wakoloni na wote waliotupumbaza eti mradi wa Bwawa la Mwalimu nyerere hauwezekani kukamilika wamechukia na kamwe hawaamini yanayotokea na hivyo watatumia mbinu zote kuubagaza.
Serikali inakuwa Serikali pale ambapo inafanya maamuzi mazito kwa maslahi ya wengi .

HITIMISHO
mradi huu umekamilika sasa ni vyema vikosi vyote vya Ulinzi na Usalama vikapelekwa eneo hili kwa Ulinzi kamilifu wa mradi huu.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!!
Yupo choicevariable roho inamuuma sana akiona huo mradi unafanikiwa!
 
Mada si ndo hii nimejadili au unataka kunipangia cha kuandika? Halafu kwanini huwa hampendi kukubali kukosolewa na kupokea mawazo mbadala? Jiwe japo alimiliki PhD lakini alikua mjinga na mshamba wa kutupwa utasema hajawahi kanyaga hata madarasa ya shule ya msingi!! Aliamini sana kwenye uchawi, ubabe,imani za kitumwa na ujinga mwingine mwingi ambao unaligharimu taifa kwa sasa!

Watu wema hawapendi giza hata siku moja. Hakuna asiyependa bwawa la umeme watu walitoa mawazo mbadala ili kuleta ufanisi zaidi katika utekelezaji. Ni mapema sana kuja hapa kuanza kujifaragua ikiwa bwawa ndo kwanza limewashwa mtambo mmoja.
umepandwa na mashetani?? jadili hoja na mada effectively usilete kulialia hapa.eti watu walileta mawazo mbadala ...nani huyo? una mfano...mburula wote mlipinga.Unaweza ku-quote wazo mbadala hata moja hapa?Mafa hii usiijadili kinafiki na kiubabaishaji ....
 
Mbona unaniletea makasiriko na kunikaripia? Mi sikumuua Jiwe punguza jazba na sonona.

Una ushahidi wapi nilipinga mradi wa Bwawa? Kushauri kwamba ifanyike Environmental impact Assessment ndo kupinga?

Intact wewe na aina ya watu wa Jiwe huwa hamuamini katika utaalamu zaidi ya kutafsiri lugha za kitaalamu kuwa ni chuki,husda,wivu na uchawi. Pole sana.
 
Back
Top Bottom