Mona Lisa Sings with AI’s Touch: The Future of Voice Synthesis

Mwl.RCT

JF-Expert Member
Jul 23, 2013
13,611
18,692
1713763108446.png

Mona Lisa Sings with AIs Touch: The Future of Voice Synthesis

The iconic Mona Lisa, a masterpiece of the Renaissance, has been brought to life through AI. Microsoft’s VASA-1 technology animates her portrait, allowing her to sing with a voice generated from a mere 3-second sample. This marvel of deep learning, known as VALL-E, analyzes speech patterns to create realistic audio outputs.

Imagine historical figures sharing their tales in their own voice, or hearing a phrase from a loved one long gone. The possibilities are profound, yet they come with a caveat. The same technology that can preserve memories can also fabricate them. Deepfakes, a byproduct of this innovation, hold the power to craft convincing misinformation and impersonate identities.

As we stand at the crossroads of technological advancement and ethical responsibility, the need for stringent regulation becomes clear. The potential for misuse of AI-generated voices is a pressing concern that demands a proactive approach. It’s imperative to balance innovation with integrity, ensuring that the future of AI remains secure and trustworthy.

View: https://youtube.com/shorts/gMMpQFRtfZQ?feature=share
 
WEWE HUJAONA KWENYE MUVI MTU ANASUKUTULIWA NGUMI MENO YANARUKA KUELEKEA UPANDE NGUMI INAKO ENDA?

CGI is the best.
 
Hii Ai ya voice fabrication ni exclusive kwa microsoft tu?

Mana sijaona tech giant wakumshusha musk, nadhani hata openai watakuwanayo, ngoja nizame chimbon ntarejea.
 
Hii Ai ya voice fabrication ni exclusive kwa microsoft tu?
Hapana, ila microsoft nao wameonesha kuwa wanaweza, kwa kuiachia VASA-1
-

VASA-1 AI: Controllability of generation 2 - Example of different emotion offsets​
 
Hapana, ila microsoft nao wameonesha kuwa wanaweza, kwa kuiachia VASA-1
-

View attachment 2970688
VASA-1 AI: Controllability of generation 2 - Example of different emotion offsets​

VASA 1 is just a crap..!

inachofanya ni kuigiza sauti ambayo ni pre-recorded na kuadjusts tones then inasynthesize human-like feelings kupitia picha.

ukiangalia hapo hata wimbo anaoimba monalisa ni wimbo ambao ulishakuwa performed na msanii.

MSFT wanasafar ndefu kuirudisha heshima yao kweny tech-industry.
 
Kuna angle moja bado hujaipata vyema.
Kisha ingia chimbo, tafiti na soma zaidi kuhusiana na balaa la VASA 1 hasa matumizi yake katika real life. Then uje urejee tena comment yako hapo juu.
 
VASA 1 is just a crap..!

inachofanya ni kuigiza sauti ambayo ni pre-recorded na kuadjusts tones then inasynthesize human-like feelings kupitia picha.

ukiangalia hapo hata wimbo anaoimba monalisa ni wimbo ambao ulishakuwa performed na msanii.

MSFT wanasafar ndefu kuirudisha heshima yao kweny tech-industry.
Mkuu Siajelewa ni kwa nini unataka kufanya huu mjadili kuwa ishu ya ubora na upekee wa Microsoft?Anyway.Binafsi naamini kabisa kwamba Hii teknolojia ya AI ikichanganywa na Video na SAUTI kisha ukiongozi na jinsi ambavyo dunia imeunganika ina maana kabisa kwamba kwa sasa Tuahitaji kuwa makini sana na aina ya taairfa tunazopokea kutoka mtandaoni.

Nafikiri ndilo lengo la mjadili aliotuleta Mwl.RCT .

Hata hivyo Bado naamni kwamba Billgates na Microsoft kama PIONEER wa TECH wapo vizuri sokoni na bado wanayo nafasi ya Kurudi ulingoni na kukalisha watu chini.Hata hivyo lazima tukubali kwamba ni vigumu sana Kwa kampuni Kubwa kuwa na Innovative Speed ya Kampuni changa.
 
Uko sahihi kabisa., Hili hasa ndio lengo la hii thread.
Sasa hivi tunakoelekea mtu anaweza kuchukua sauti,picha,video na taarifa zingine za mtu na kutengeneza maudhui yenye nia nzuri au mbaya na kisha kuyatumia katika namna ambayo inaweza kumuathiri muhusika au watumiaji wengine wa mtandao.

Sasa swali lakujiuliza ni JE tunawezaje kujilinda dhidi ya madhara yatokanayo na taarifa ambazo zimeundwa kwa njia ya AI?

Pili Je tunaweza je kulinda taarifa zetu zisitumike vibaya kwa kutumia AI.Makampuni Makubwa kama Google,Meta,X,Tiktok n.k.tayari yana mkusanyo wa Taarifa mbalimbali za watu kama picha,sauti,video n.k. ambazo zinaweza kutumika kwa nia nzuri au mbaya na zikleta madhara ambayo hayajatarajiwa JE kuna namna tunaweza kuzuia hilo?

Mwisho Je Hizi teknolojia pamoja na changamoto zake zinawezaje kutumika "Ethically" ili kuwa na faida kwa wanadamu na jamii kwa Ujumla?
 
Nimejaribu kutoa mwanga nini kifanyike.

View: https://www.youtube.com/shorts/fJozzeJ7Vv0
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom