Robidinyo
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 3,772
- 7,760
Try Again na Kamati ya Usajili ya Simba Hawapaswi Kuhusika kwa chochote Kwenye Mipango ya Timu kwa Msimu Ujao
Huyu try Again hakuna anachojua kwenye mpira, ni kiongozi aliyehusika kuleta wachezaji wabovu ndani ya kikosi cha Simba, kaua mahusiano na wale Mawakala waliokua wanatuletea wachezaji bora na Imara, kaweka mahusiano na mawakala wapiga deal wanamletea wachezaji wabovu na wasio na Uwezo
Ikiwezekana hata bodi nzima Ivunjwe, mangungu aombwe tu kulinda heshima yake ajihuzuru
Try Again na Mangungu hawajui chochote kwenye Soka La bongo nje na ndani ya Uwanja, Inafikia hatua watu wanacheza mechi za Simba nje ya Uwanja yapo hayafanyi lolote