Mlipuko huu wa Rooters za WIFI kwa kampuni za Simu ipi ni nzuri Kwa matumizi nyumbani?

Nimejimilikisha ki'Pocket WiFi cha Airtel.. Nakipenda, natembea nacho popote ninapoenda 20gb zinanitosha mwezi mzima kwa 20k..
 
Attachments

  • 20240322_101255.jpg
    20240322_101255.jpg
    844.4 KB · Views: 18
Hiyo laki 2 ya Airtel basi umepigwa
Kuna wenzako kadhaa walikuwa na ubishi kama huu wa kwako....

Kumbe hawakujua kuna aina 2 za vifurushi, Home na Business.

Home, inabidi ulipie 200k ya router, na inakuwa yako, na minimum bundle per month ni 70k.

Business, hauuziiwi router, so basically inakuwa siyo mali yako, na kifurushi cha chini kwa mwezi kinaanzia 110k.

Kwa hiyo wao wakawa wanakomaa router ni 110k siyo 200k. Kumbe hiyo 110k ni wanayolipia every month.
 
Na zile router za 50k za tigo zimstolewa kwa akina nani?
 
Kuna wenzako kadhaa walikuwa na ubishi kama huu wa kwako....

Kumbe hawakujua kuna aina 2 za vifurushi, Home na Business.

Home, inabidi ulipie 200k ya router, na inakuwa yako, na minimum bundle per month ni 70k.

Business, hauuziiwi router, so basically inakuwa siyo mali yako, na kifurushi cha chini kwa mwezi kinaanzia 110k.

Kwa hiyo wao wakawa wanakomaa router ni 110k siyo 200k. Kumbe hiyo 110k ni wanayolipia every month.
Kwa 200k router ikiwa yako unaweza kutumia mtandao wowote? Swali lingine,hizo router zinakuwa na line ya simu ambayo unaweza kuiweka au kuitoa au kutumia line nyingine?
 
Router sina uhakika kama inasoma mitandao mingine...

Yes, ina sehemu ya kuweka line.
 
Hivi kwenye hizi internet cafe huwa wanatumia fiber network? Mwenye ujuzi juu ya hili.
 
Back
Top Bottom