physician2023
JF-Expert Member
- Dec 15, 2023
- 348
- 470
Mkuu wa majeshi Kenya,alitaka azikwe bila jeneza na asicheleweshwe kuzikwa ili kupunguza gharama za mazishi,japo yeye ni mkristo.
Wewe haya umeyajulia wapi?Mkuu wa majeshi Kenya,alitaka azikwe bila jeneza na asicheleweshwe kuzikwa ili kupunguza gharama za mazishi,japo yeye ni mkristo.
ni heshima kubwa mwili ukipumzishwa kaburini bila kujazwa udongo na ni fasheni ya wenye hela. Angalia makaburi ya wenye hela yalivyojengewa marumaru ghali ni kufuru tupu. Huna hela utazikwa kwa kufukiwa na udongo kaburini kama zamani.Kwanza hii ya kujenga makaburi kama chumba cha mapumziko na maiti kuwekwa kwenye mbao(jeneza) siyo sawa.
Mtu anatakiwa aoze kisha mchakato wa maisha ya viumbe wengine uendelee. Sasa unamweka mtu kwenye box na kujenga kaburi simenti haiko sawa.
Hayo yote ni ubatili mtupu.ni heshima kubwa mwili ukipumzishwa kaburini bila kujazwa udongo na ni fasheni ya wenye hela. Angalia makaburi ya wenye hela yalivyojengewa marumaru ghali ni kufuru tupu. Huna hela utazikwa kwa kufukiwa na udongo kaburini kama zamani.
Ukishakuwa mzoga hauna heshima yoyote sana sana utanuka tu uwe kero kwa walio hai.ni heshima kubwa mwili ukipumzishwa kaburini bila kujazwa udongo na ni fasheni ya wenye hela. Angalia makaburi ya wenye hela yalivyojengewa marumaru ghali ni kufuru tupu. Huna hela utazikwa kwa kufukiwa na udongo kaburini kama zamani.
Abarikiwe sanaMkuu wa majeshi Kenya,alitaka azikwe bila jeneza na asicheleweshwe kuzikwa ili kupunguza gharama za mazishi,japo yeye ni mkristo.
huo mzoga hufanyiwa heshima kwa kuzikwa vizuriUkishakuwa mzoga hauna heshima yoyote sana sana utanuka tu uwe kero kwa walio hai.
hiyo mifupa ilizikwa kwa heshima stahikiHayo yote ni ubatili mtupu.
Nje marumaru,ndani mifupa na uchafu.
الإسلام هو الدين الحق وقد بدأ الناس يقبلونهNini hoja yako mkuu?
Hakusema alibadili dini?
Watu wanaipa heshima mizoga badala ya kuidispose ili decomposition ifanyike.Kwanza hii ya kujenga makaburi kama chumba cha mapumziko na maiti kuwekwa kwenye mbao(jeneza) siyo sawa.
Mtu anatakiwa aoze kisha mchakato wa maisha ya viumbe wengine uendelee. Sasa unamweka mtu kwenye box na kujenga kaburi simenti haiko sawa.
Heshima katika muktadha upi?hiyo mifupa ilizikwa kwa heshima stahiki
Nimeangalia live kwa tv wanavyomuaga Marehemu..huo mzoga hufanyiwa heshima kwa kuzikwa vizuri
Haya mambo ya kuiga usasa tunayo sisi wakristo.Watu wanaipa heshima mizoga badala ya kuidispose ili decomposition ifanyike.
Mimi mzoga wangu usizikwe na jeneza ili kutunza mazingira
Kwamba wanapunguza mbolea au sio 😂Kwanza hii ya kujenga makaburi kama chumba cha mapumziko na maiti kuwekwa kwenye mbao(jeneza) siyo sawa.
Mtu anatakiwa aoze kisha mchakato wa maisha ya viumbe wengine uendelee. Sasa unamweka mtu kwenye box na kujenga kaburi simenti haiko sawa.
Hapo juu nimeliongelea hili,mkuu.Kwamba wanapunguza mbolea au sio 😂
Lakini ile maana kamili ya msemo tumeumbwa kwa udongo na tutarudi kwa udongo, inakosa mashiko.