Maajabu familia ya marehemu mkuu wa majeshi Kenya Leo anaagwa baba yake leo anatimiza miaka 100 ya kuzaliwa

Shotocan

JF-Expert Member
Nov 21, 2023
2,261
4,735
Maisha kitendawili,

Maajabu familia ya marehemu Francis Ogolla mkuu wa majeshi Kenya Leo anaagwa akiwa kafariki akiwa na miaka 62 baba yake Mzee Joel Ogolla Leo jumamosi anatimiza miaka 100 ya kuzaliwa Leo ni birthday yake na walipanga kufanya birthday kubwa Kwa ajili yake.

Leo jumamosi imekuwa siku ya kuaga kitaifa mwanae mkuu wa Majeshi na siku ya birthday yake.Huyu anaagwa huzuni mzazi siku ya sherehe ya birthday yake
 
Mipango ya Mungu
Mungu hapangi kufa

Huwa naamini tuna zaliwa katika mfumo ambao kila mtu huamua anachotaka na chochote kinaweza kutokea mda wowote.

Issue ya kumjua Mungu ni issue nyingine Mungu huwajua wanao mtafuta kwa haki tu.

Kufa ipo katika mfumo wetu wa maisha ila si mpango wa Mungu
 
Maisha kitendawili
Maajabu familia ya marehemu Francis Ogolla mkuu wa majeshi Kenya Leo anaagwa akiwa kafariki akiwa na miaka 62 baba yake Mzee Joel Ogolla Leo jumamosi anatimiza miaka 100 ya kuzaliwa Leo ni birthday yake na walipanga kufanya birthday kubwa Kwa ajili yake.Leo jumamosi imekuwa siku ya kuaga kitaifa mwanae mkuu wa Majeshi na siku ya birthday yake.Huyu anaagwa huzuni mzazi siku ya sherehe ya birthday yake
Exactly shida yako ni nini hapo? Au ulitaka jamii ipate habari gani hasa hapo?
 
La ajabu hapo ni lipi? In terms of dates kila kitu chini ya Jua kiko confined within 365 days a year. Na kwa kuwa in the universe there are trillions of events confined within those 365 days, probability of events collision is 100%.
 
Back
Top Bottom