Kwanini Mkuu wa Majeshi(JWTZ)anatokea Kamandi Moja tu, wakati tuna Kamandi Sita?

Care Giver

Member
Apr 2, 2024
51
177
Habari, kwanza kabisa nitoe salam zangu za pole kwa majirani zetu Kenya kwa msiba wa CDF na wafuasi wake katika ajali ya ndege ya kivita iliyotokea tarehe 19/04/2024 wakiwa katika ziara za kikazi.

Baada ya kifo cha Mkuu wa Majeshi wao (CDF) nimetokea kuvutiwa sana na utaratibu wa majirani zetu baada ya uteuzi wa CDF mpya kuteuliwa kutoka kamandi ya majini (Navy).

Swala hili likanivutia sana nikaamua kuwafuatilia kidogo, nikagundua kumbe wao wana utaratibu wa kupokezana kwa kila kamandi kutoa CDF.

Swali langu, Je mbona huku kwetu asilimia kubwa kama si zote tunatoa Mkuu wa majeshi (CDF) kutoka Kamandi ya Makao Makuu ya Jeshi (MMJ) pekee?

Ina maana hizi Kamandi nyingine kama Kamandi ya Nchi Kavu, Kamandi ya Anga, Kamandi ya Majini, Kamandi ya JKT na Kamandi ya Mgambo Mkuu wa Majeshi hawezi kutokea huko?

Naomba kuwasilisha.
 
Habari, kwanza kabisa nitoe salam zangu za pole kwa majirani zetu Kenya kwa msiba wa CDF na wafuasi wake katika ajali ya ndege ya kivita iliyotokea tarehe 19/04/2024 wakiwa katika ziara za kikazi.

Baada ya kifo cha Mkuu wa Majeshi wao (CDF) nimetokea kuvutiwa sana na utaratibu wa majirani zetu baada ya uteuzi wa CDF mpya kuteuliwa kutoka kamandi ya majini (Navy).

Swala hili likanivutia sana nikaamua kuwafuatilia kidogo, nikagundua kumbe wao wana utaratibu wa kupokezana kwa kila kamandi kutoa CDF.

Swali langu, Je mbona huku kwetu asilimia kubwa kama si zote tunatoa Mkuu wa majeshi (CDF) kutoka Kamandi ya Makao Makuu ya Jeshi (MMJ) pekee?
Ina maana hizi Kamandi nyingine kama Kamandi yaNchi Kavu, Kamandi ya Anga, Kamandi ya Majini, Kamandi ya JKT na Kamandi ya Mgambo Mkuu wa Majeshi hawezi kutokea huko?

Naomba kuwasilisha.
Kwanza kwa Tanzania, ni vigezo gani hutumika ktk kumteua mtu Mwanajeshi kuwa Mkuu wa Majeshi(CDF)?? Je, uchawa haupo kabisa kwenye vigezo vya kuweza kuteuliwa kuwa CDF hapa Tz?

Jaribu tu kufikiria, kama Paul Makonda na umbumbumbu wake pamoja na uhalifu wake alionao ameweza kuteuliwa kushika nyadhifa kubwa kubwa hapa Tanzania Huku wakiachwa watu wengine wengi ambao ni Wasomi, waadilifu na weledi, Je, inashindikana nini kumteua CDF kwa kufuata utaratibu kama huo ambao unaulalamikia????
 
Habari, kwanza kabisa nitoe salam zangu za pole kwa majirani zetu Kenya kwa msiba wa CDF na wafuasi wake katika ajali ya ndege ya kivita iliyotokea tarehe 19/04/2024 wakiwa katika ziara za kikazi.

Baada ya kifo cha Mkuu wa Majeshi wao (CDF) nimetokea kuvutiwa sana na utaratibu wa majirani zetu baada ya uteuzi wa CDF mpya kuteuliwa kutoka kamandi ya majini (Navy).

Swala hili likanivutia sana nikaamua kuwafuatilia kidogo, nikagundua kumbe wao wana utaratibu wa kupokezana kwa kila kamandi kutoa CDF.

Swali langu, Je mbona huku kwetu asilimia kubwa kama si zote tunatoa Mkuu wa majeshi (CDF) kutoka Kamandi ya Makao Makuu ya Jeshi (MMJ) pekee?
Ina maana hizi Kamandi nyingine kama Kamandi yaNchi Kavu, Kamandi ya Anga, Kamandi ya Majini, Kamandi ya JKT na Kamandi ya Mgambo Mkuu wa Majeshi hawezi kutokea huko?

Naomba kuwasilisha.
T14 Armata, karibu hapa
 
Kama swala n
Kwanza kwa Tanzania, ni vigezo gani hutumika ktk kumteua mtu Mwanajeshi kuwa Mkuu wa Majeshi?? Je, uchawa haupo kabisa kwenye vigezo vya kuweza kuteuliwa kuwa CDF hapa Tz?

Jaribu kufikiria, kama Paul Makonda na umbumbumbu wake pamoja na uhalifu wake ameweza kuteuliwa kushika nyadhifa kubwa kubwa hapa Tanzania Huku wakiachwa watu wengine Wasomi na weledi, Je, inashindikana nini kumteua CDF kwa kufuata utaratibu kama huo ambao unaulalamikia?

Kwanza kwa Tanzania, ni vigezo gani hutumika ktk kumteua mtu Mwanajeshi kuwa Mkuu wa Majeshi(CDF)?? Je, uchawa haupo kabisa kwenye vigezo vya kuweza kuteuliwa kuwa CDF hapa Tz?

Jaribu kufikiria, kama Paul Makonda na umbumbumbu wake pamoja na uhalifu wake alionao ameweza kuteuliwa kushika nyadhifa kubwa kubwa hapa Tanzania Huku wakiachwa watu wengine Wasomi na weledi, Je, inashindikana nini kumteua CDF kwa kufuata utaratibu kama huo ambao unaulalamikia????
Sasa ina maana hao machawa wanatoka Kamandi moja tu? Ina maana hizi Kamandi nyingine hazina machawa?
 
Ni kwasababu sisi hatuna specialization toka mwanzo, wenzetu wakiingia jeshini tu wanaspecialize mapema sana, kama wewe ni Navy utakaa navy ufanye kozi za huko hadi utakapostafu, lakini kwa bongo kila askari anaanza kama askari wa nchi kavu, hata maofisa 97% wanafanya kozi ya infantria.. unaweza kukuta hata CDF wa sasa katokea MMJ lakini kuna muda alikuaga Land force.
 
Kamandi ya Anga,
Nakumbuka Mboma alikuwa anga
Ila kutoa CDF Mgambo ni dhihaka
433898894_382726981192162_9040453771690272891_n.jpg
 
Back
Top Bottom