Mr. Purpose
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 1,444
- 2,696
huon mwenzio kakutana na trump, sijui ndo katoboa maisha ila hongera ziende kwa mwalimu kwa bidii zake.Unalipaje mkuu?
huon mwenzio kakutana na trump, sijui ndo katoboa maisha ila hongera ziende kwa mwalimu kwa bidii zake.Unalipaje mkuu?
Hahah 🤐huon mwenzio kakutana na trump, sijui ndo katoboa maisha ila hongera ziende kwa mwalimu kwa bidii zake.
ha ha ha ha,kuonana na mtu ili utokee kwenye picha katika hali ya kiuchumi hiyo sio kufanikiwa bali ni kuendekeza umasikini.Tulitegemea tuone,labda amepiga hatua ya kumiliki vyuo kadhaa au viwanda kadhaa n.khuon mwenzio kakutana na trump, sijui ndo katoboa maisha ila hongera ziende kwa mwalimu kwa bidii zake.
Mzungu hahusiki hapa, hizi ni bidii za mwalimu Tabichi. Basi. Aliwagaragaza walimu 10,000 kutoka nchi 179 na akatajwa kama mwalimu bora duniani. Yupo U.S kuhutubia viongozi wa dunia nzima kwenye kikao cha U.N General Assembly, sio wazungu. Wao ndio wameamua kumshobokea kwasababu ya mafanikio yake. Tujiamini kama waafrika bana, na tupambane kwasababu tunaweza sio kwasababu ya rangi ya ngozi zetu. Hii dhana yako sio ya karne hii, ilipitwa na wakati, tena zamani sana.Alafu wazungu tunawaita BEBERU trust me wazungu hawana choyo kama mamtu meusi.
Tuondoe dhana ya kuwaona vibaya wanatuletea Chandarua,kondomu za bure,ARV,chanjo mbali mbali n.k
Mzungu hahusiki hapa, hizi ni bidii za mwalimu Tabichi. Basi. Aliwagaragaza walimu 10,000 kutoka nchi 179 na akatajwa kama mwalimu bora duniani. Yupo U.S kuhutubia viongozi wa dunia nzima kwenye kikao cha U.N General Assembly, sio wazungu. Wao ndio wameamua kumshobokea kwasababu ya mafanikio yake. Tujiamini kama waafrika bana, na tupambane kwasababu tunaweza sio kwasababu ya rangi ya ngozi zetu. Hii dhana yako sio ya karne, hii ilipitwa na wakati, tena zamani sana.
Boss, hebu tuelewane. Tuzo la kila mwaka, la mwalimu bora duniani, huwa linadhaminiwa na Varkey Foundation wakishirikiana na UNICEF. Mwalimu Tabichi alikabidhiwa tuzo hilo mapema mwaka huu kwenye hafla ambayo ilikuwa kule Dubai. Tuzo hilo na Varkey Foundation ni miradi ya huyu bilionea kutoka India ambaye anaishi Dubai.Nani alietoa hizo hela? Nani alietangaza mshindi?,Nani aliempa chance ya hiyo UN general Assembly, Walikuwa fair kumtangaza mshindi halali tofauti na sisi mimtu meusi? Kwa nini anakuja kutamburika nje huku ndani ya nchi yake analipwa mshahara wa kutia huruma
Duh! Katokea wapi mkuu?Huyu sio mkenya huyu.
Wacha wivu za peni mbili. Huoni Kiingereza chenyewe ni kisafi kama cha Kenya? Au Watanzania pia wanaweza kuongea Kiingereza hicho?Huyu sio mkenya huyu.
Alafu wazungu tunawaita BEBERU trust me wazungu hawana choyo kama mamtu meusi.
Tuondoe dhana ya kuwaona vibaya wanatuletea Chandarua,kondomu za bure,ARV,chanjo mbali mbali n.k
Mtaacha lini kuwa inamia wazungu na lugha yaoWacha wivu za peni mbili. Huoni Kiingereza chenyewe ni kisafi kama cha Kenya? Au Watanzania pia wanaweza kuongea Kiingereza hicho?
Lugha hilo ndilo linachoweka ugali kwenye meza yetu. Sisi hatuna madini kama nyinyi. Sisi hatuna dhahabu na gesi kama nyinyi kwa hivyo lazima tujitume.Mtaacha lini kuwa inamia wazungu na lugha yao
Umenikumbusha kuhusu ile coin yao ya shilingi mia.Ukitumia neno peni unawachanganya, sarafu yao madafu haina peni, imeanzia kwenye shilingi hamsini.
Rais wako ndo anawaita hivyo....Alafu wazungu tunawaita BEBERU trust me wazungu hawana choyo kama mamtu meusi.
Tuondoe dhana ya kuwaona vibaya wanatuletea Chandarua,kondomu za bure,ARV,chanjo mbali mbali n.k
Mkuu wetu anaitumia sana "dhana" hiyo, itakuwa naye Kapitwa na wakati..Mzungu hahusiki hapa, hizi ni bidii za mwalimu Tabichi. Basi. Aliwagaragaza walimu 10,000 kutoka nchi 179 na akatajwa kama mwalimu bora duniani. Yupo U.S kuhutubia viongozi wa dunia nzima kwenye kikao cha U.N General Assembly, sio wazungu. Wao ndio wameamua kumshobokea kwasababu ya mafanikio yake. Tujiamini kama waafrika bana, na tupambane kwasababu tunaweza sio kwasababu ya rangi ya ngozi zetu. Hii dhana yako sio ya karne hii, ilipitwa na wakati, tena zamani sana.