News Alert: Mkenya awa Mwafrika wa kwanza kushinda tuzo ya mwalimu bora duniani

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,748
48,644
Jamaa amejituma balaa hadi kuwabwaga washindani wenzake kumi waliokua wameteuliwa kupokea hiyo tuzo la mwalimu bora duniani. Atapokezwa kitita cha Kshs 100 million, hela ndefu sana hii.
----------------------

1-million-Ksh.100-million.png

Peter Tabichi. He won the 2019 Global Teacher Prize. PHOTO| COURTESY

A Kenyan teacher, Mr. Peter Tabichi, has won the 2019 Global Teacher Prize.

Mr. Tabichi, a Mathematics and Physics teacher at Keriko Mixed Day Secondary School in Pwani Village, Nakuru County, was announced winner of the global prize on Sunday evening at a ceremony held in Dubai.

The Varkey Foundation’s $1 million (Ksh.100 million) Global Teacher Prize honors one exceptional teacher every year.

Mr. Tabichi, who becomes the first African and male teacher to win the global award, emerged winner out of 10 finalists who were among 10,000 applicants for the award.

Congratulations to @PeterTabichi, the 2019 Global Teacher Prize Winner! #TeacherPrize pic.twitter.com/bH7w5yX18Y
— Global Teacher Prize (@TeacherPrize) March 24, 2019
https://citizentv.co.ke/news/kenyan...ications&utm_campaign=onesignal_notifications
 
Yap!. Hiyo ni historia ya kutofutika sasa. Kale ka title ka 'the first bla bla bla....' Kama league za marehemu Maathai wangare, injera, wanyama, mariga etc ndio hako tena.
 
Jamaa amejituma balaa hadi kuwabwaga washindani wenzake kumi waliokua wameteuliwa kupokea hiyo tuzo la mwalimu bora duniani. Atapokezwa kitita cha Kshs 100 million, hela ndefu sana hii.
----------------------

1-million-Ksh.100-million.png

Peter Tabichi. He won the 2019 Global Teacher Prize. PHOTO| COURTESY

A Kenyan teacher, Mr. Peter Tabichi, has won the 2019 Global Teacher Prize.

Mr. Tabichi, a Mathematics and Physics teacher at Keriko Mixed Day Secondary School in Pwani Village, Nakuru County, was announced winner of the global prize on Sunday evening at a ceremony held in Dubai.

The Varkey Foundation’s $1 million (Ksh.100 million) Global Teacher Prize honors one exceptional teacher every year.

Mr. Tabichi, who becomes the first African and male teacher to win the global award, emerged winner out of 10 finalists who were among 10,000 applicants for the award.

Congratulations to @PeterTabichi, the 2019 Global Teacher Prize Winner! #TeacherPrize pic.twitter.com/bH7w5yX18Y
— Global Teacher Prize (@TeacherPrize) March 24, 2019
https://citizentv.co.ke/news/kenyan...ications&utm_campaign=onesignal_notifications
Congrats to him.
 
Hongera zake bana. Acha hizo hela zimfaidi maanake hii taaluma yao ya ualimu ni ya watu wavumilivu pekee yake. Sanasana wale walimu wa shule ya msingi. Unapata kwenye darasa la wanafunzi thelathini ni watano tu ndio wanaoelewa kinachoendelea, kumi kati yao nao ni mavichwa boga kupindukia. Alafu wale wengine wote walosalia ni manugunugu na ngedere, ambao wanachowaza kutoka chee hadi machweo ni kengele ya mwisho itapigwa saa ngapi. Wakajibingirishe kwenye udongo na wapande juu kabisa kwenye miti.
 
Mungu kaona kujitoa kwake kamreward pesa ndefu Mara dufu kuliko alichotoa lakini faraja kwa thamani ya utu kwa wengine.Hiyo pesa kwa mwalimu na kada zingine za kawaida asingeweza kupata kamwe.
 
Hongera Kwa mtawa huyu wa kikatoliki alieamua kuyatoa maisha yake kutumikia jamii...
Hii ndiyo dini ya kweli.
Kujitolea 80 asilimia za kipato chako sio kitu chepesi na bado ukaifanya kazi Kwa viwango vya juu kabisa...
Azidi kuinuliwa Fr.

Nokia kitochi a.k.a mulika mwizi
 
Hongera zake kwa kuwa bora. Japo sijajua vigezo na masharti yaliyozingatiwa.
 
KENYA: MWALIMU WA SAYANSI PETER TABICHI ASHINDA TUZO YA DUNIA

Source:KENYA: MWALIMU WA SAYANSI PETER TABICHI ASHINDA TUZO YA DUNIA | Mtanzania

Na Mwandishi Wetu

Mwalimu wa sayansi nchini Kenya , ambaye hutoa sehemu kubwa ya mshahara wake kwa ajili ya kuwasaidia wanafunzi maskini zaidi, ameshinda tuzo ya dola milioni moja ($1m ) kwa kuwa mwalimu bora zaidi duniani kwa mwaka 2019.

Peter Tabichi, ambaye anatoka katika Shirika la kidini la Francisco, amesifiwa kwa mafanikio yake katika shule yenye madarasa yenye watoto wengi pamoja na vitabu vichache.

Akiwa kama mwalimu Peter amekuwa akitaka kuwaona watoto wa shule wakiichukulia sayansi kama njia ya kufuata kwa ajili ya siku zao zijazo.

Tuzo hiyo ilitangazwa katika sherehe iliyofanyika mjini Dubai, ambapo alitambuliwa kama mwalimu aliyejitolea kufanya kazi isiyo za kawaida kwa watoto katika eneo lisiloweza kufikiwa kwa urahisi la bonde la ufa nchini Kenya.

Mwalimu Peter hutoa asilimia 80 ya mshahara wake kuwasaidia watoto katika Shule ya kutwa ya Sekondari ya wasichana na wavulana ya Keriko iliyopo katika kijiji cha Pwani, kaunti ya Nakuru, ambao hawana uwezo wa kupata sare za shule na pamoja na vitabu.
 
Rais Uhuru Kenyatta akimpongeza Peter Tabichi kwa kujishindia tuzo la mwalimu bora duniani.
 
Hongera zake kwa kuwa bora. Japo sijajua vigezo na masharti yaliyozingatiwa.
Yaani kati ya walimu 10,000 duniani huyu mwafrika mwenzako alifanikiwa kufika kwenye top 10. Akawa ndio mwafrika pekee yake aliyefanikiwa kutinga ndani ya kumi bora na kushinda tuzo hili pia. Alafu wewe hapo unauliza kuhusu vigezo na masharti yaliyozingatiwa? Aisee, unadhani ni kikombe cha babu wa Loliondo ndio kilifanikisha goli la mkono au?
 
siku hizi naona umeanza kuwa kiboga...... unaharibika kadiri unavyokua.
 
Back
Top Bottom