Wallet in British English na billford in American EnglishSasa Kama ni hivyo mbona ni tofauti sana?View attachment 2481465
View attachment 2481466
American English na British English?
Kupenda ngono ni tabia za MTU na sio kabila nchi au mkoa .Labda uganda iliyopakana na tz kwa wanyankole kule kiganda cha kati mpk kuelekea Sudan kusini hakiingiliani na kihaya kabisaaa,
Ndio wana asili moja lakini niamini mganda kwa kupenda chini muhaya bado mwanafunzi
Hakika nimeshangazwa na hii habariKwakweli usije ukasema eti umeyaona yote ya dunia
Ni mzima kabisa mihemkoo tu..hata wewe unaweza jikuta kwenye situation kama hizo siku moja.Mi huwa sielewi starehe ya mapenzi inayotumia akili na ufahamu wa mtu, namna gani watu wengine wanavyolifanya na kulichukulia!
Hivi saikolojia yako inaweza kukaa sawa na kupandisha mihemko ya mapenzi kwenye kadamnasi iliyopo sehemu ya umma?
Kuna siku nilishuhudia mke wa marehemu akizini na jamaa tuliokuwa pamoja kwenye msafara wa kusindikiza maiti ya mumewe kwenda kuzika kijijini kwao!
Tulipofika "senta" moja usiku umeingia tukaamua kulala ili alfajiri tuendelee na msafara.
Lakini maiti ya mume ipo garini, jamaa linachukua mke wa marehemu uchochoroni kwenda kufanya naye mapenzi!
Sa'huwa najiuliza mtu kama huyo anakuwa mtimilifu kiakili kweli?
Kwangu mimi haiwezekani.Ni mzima kabisa mihemkoo tu..hata wewe unaweza jikuta kwenye situation kama hizo siku moja.