Na wanawake wanasitiri na kuvumilia mangapi?huruma ya kuwa sitiri mambo yenu mengi tu
Acha uongo....Mganda na Muhaya ni jamii ileile tu, ndio maana Iddi Amini alidai mkoa wa Kagera ni sehemu ya uganda kwasababu Wahaya na Waganda wanayo asili moja, Lugha ya kiganda na kihaya ni sawa na American English na British English.
Asiwapige kamba....Sasa Kama ni hivyo mbona ni tofauti sana?View attachment 2481465
View attachment 2481466
American English na British English?
Sijui ni kwanini wasema mimi muongo na wakati huo huo unaniunga mkono!!,Acha uongo....
Lugha ya kihaya na kiganda hazifanani hata kidogo....mhaya hamuelewi kabisa mganda...
Wewe ndiyo una akili kuliko wote walio-comment kwenye huu uzi, hongera sana mwamba kwa kuling'amua hilo.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 WahuniWanawake wakuda sana mazeee.. Wanawake nimekuja ona wadwanzi.. mke akiambiwa na mchungaji usitoe unyumba hupewi, siku hizi wana mtindo wa kujipa ubini wa wachungaji wao.. hao watu sio kabisaa
Huo ni upindishaji wa maneno tu lakini wanaelewana, ukisema Soccer ndio Football, spade ndio shovel, ni sawa useme stima huko kenya na huku Tanzania useme Umeme lakini bado tunaelewana kwa kiswahili hicho hicho japo kuna Kenyan na Tanzanian Swahili.Sasa Kama ni hivyo mbona ni tofauti sana?View attachment 2481465
View attachment 2481466
American English na British English?
Unakaza fuvu bado...Sijui ni kwanini wasema mimi muongo na wakati huo huo unaniunga mkono!...
Unakaza fuvu bado...
Kuna tofauti kubwa kati ya lugha ya kiganda na jamii za Uganda kama nchi...
So what...Wewe ni Muhaya au mnyankole (Muhima)??-- tuanzie hapo kwanza.
Hili sijawahi kulisikia!Unawaona hawa wakaka wanaojipa ubini wa ma pastor pia? Utaskia son of Apostle nani sijui. Kila mtu anashinda mechi zake
Hii dawa inasaidia nini?Hakikisha unatumia hii, 1X3.
Ukipita kwenye mitandao utawaona. Hapa ntachoka kuelezaHili sijawahi kulisikia!
Sasa watu huwa na ubin wa jina la kikristu saazingine mfano John.
Sasa unathibitishaje kwamba huu ubin ni wa Pastor John na si wa mzazi wake?