Mitandao ya Tanzania ni ya hovyo mno, Tigo, Vodacom, Airtel internet ni takataka tu. Wanatuibia pesa zetu

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
34,786
41,159
Huduma za Internet kwa mitandao ya Tigo, Voda na Airtel kwa Tanzania ni mbovu mno.

Mtu unaweka bundle lakini mpaka inaisha unakuta hujatumia ipasavyo kutokana na kukatika katika kwa huduma husika.

Muda mwingi network hakuna hata ikiwa ni maeneo ya mjini kabisa.

Hivi wahusika mnajielewa kweli??

Kwanini mnachukua pesa zetu halafu mnatoa huduma mbovu.

Acheni wizi kwa watanzania, mnachukua pesa bila kutoa huduma za kueleweka.
 
Bora Elon aje atuondolee huo wizi ,yaani 1GB inaisha kwa kustream online radio 4hrs????

Mtu unatumia madakika kadhaa kufungua page moja tu.

Wahuni tu wamekaa nyuma ya makampuni makubwa wanatuibia pesa zetu tunazoweka kwenye bundle.

Waache utapeli watoe huduma zinazoendana na fedha tunayotoa.
 
Huduma za Internet kwa mitandao ya Tigo, Voda na Airtel kwa Tanzania ni mbovu mno.

Mtu unaweka bundle lakini mpaka inaisha unakuta hujatumia ipasavyo kutokana na kukatika katika kwa huduma husika.

Muda mwingi network hakuna hata ikiwa ni maeneo ya mjini kabisa.

Hivi wahusika mnajielewa kweli??

Kwanini mnachukua pesa zetu halafu mnatoa huduma mbovu.

Acheni wizi kwa watanzania, mnachukua pesa bila kutoa huduma za kueleweka.
Ni kweli kabisa
 
Mbona mimi natumia laini ya M2M ya halotel inakuwa ya internet tu. Wala aisumbui maana imeboreshwa.
 
Attachments

  • InShot_20231222_220513278.jpg
    InShot_20231222_220513278.jpg
    1 MB · Views: 11
Huduma za Internet kwa mitandao ya Tigo, Voda na Airtel kwa Tanzania ni mbovu mno.

Mtu unaweka bundle lakini mpaka inaisha unakuta hujatumia ipasavyo kutokana na kukatika katika kwa huduma husika.

Muda mwingi network hakuna hata ikiwa ni maeneo ya mjini kabisa.

Hivi wahusika mnajielewa kweli??

Kwanini mnachukua pesa zetu halafu mnatoa huduma mbovu.

Acheni wizi kwa watanzania, mnachukua pesa bila kutoa huduma za kueleweka.
Naungana nawe kati hilo. Mitandao yetu, mjini kabisa kwanza ni poor network. Mpaka uongee vizuri lazima utoke nje kwenye ya majengo.
Hakuna call stability. Utaongea secunde 10, 15 unasikia mkwaruzo, au mmoja hapati sauti na hata kukatika line.
Sijui TCRA wanafanya Call Quality Audit au ni wanawekana sawa tu na kutoa ripoti
 
Back
Top Bottom