code ya betpawa pekee ndio huwekwa hapa au?

asante sana mkuu Mayu nimefika
si betpawa tu
kampuni yoyte inayo tumia mfumo wa code tuna weka apa lakini ni muhimu kusema ni code ya kampun ipi
betpawa ime kua rahisi kwa kua weng wana access nayo
ndo maana kama umepita uko juu Mayu ame fafanua

Mruss ~ 1x
BePawa ~ pawa
nk nk
kumbuka hz ndizo common tunazo tumia
 
Back
Top Bottom