TANZIA Mfanyabiashara Emilian Woiso afariki dunia

Mzee alikua ni master kabisa...walienda walioenda na hakucheka na mtu! Ila mwishoni aliokoka kweli na trakea ikawa kanisa badala ya baa...woiso wa Wop ni kijana mdogo sana...sidhani hata kama 44 anafika...ila kwa umri wa woiso kulikua hamna namna ya namna ya kutafuta hela kipindi chao...hela ilikua haipatikani instagram ilibidi uichukue kwa watu!

Dhuruma haina utetezi.

Dhuruma ni dhuruma .
 
Nilijua ndio yule anayetengeneza na kuuza bidhaa za ngozi hapa nchini ama ni ubini
Yeye alikuwa mtu matukio. Maisha aliyoishi Lesheya kuanzia mwaka 1980 hapa Mwenge kama mfanyabiashara, jambazi, muuaji, mwizi kisha kuwa muumini wa Full Gospel Fellowship ni kama Cinema.

Namna alivyopata utajiri, alivyomiliki ardhi, kufungua shule na kufungua kanisa ni kama hadithi ya kusimuliwa.

Nawashauri Bongomovie watengeneze movie itauza
 
Mzee alikua ni master kabisa...walienda walioenda na hakucheka na mtu! Ila mwishoni aliokoka kweli na trakea ikawa kanisa badala ya baa...woiso wa Wop ni kijana mdogo sana...sidhani hata kama 44 anafika...ila kwa umri wa woiso kulikua hamna namna ya namna ya kutafuta hela kipindi chao...hela ilikua haipatikani instagram ilibidi uichukue kwa watu!
Kwenye kutafuta hela alikuwa hacheki na kima
 
Nampata sana kuna wakati nilikuwa na ukaribu naye sana lakini kwa jinsi alivyokuwa anawaliza watu nikaamua kuwa naye mbali
nilipataga dili la ku supply materials shulen kwake kuna mwananangu akaniambia huyo dingii ni mgaigai balaa alishawah kumfanyia kazi akawa kila akienda kufuatilia malipo yake anamkuta hayat kaweka bastora mezan anasafishasafisha virisasi inabid muhuni azuge alipita kusalimia baada kupata hii clue nikapita zangu hivi
 
Wa Salasala bidhaa za ngozi na shule ya Cornelius, Tarakea pale Mwenge kwenye soko la mbao ni huyo huyo Lesheya Woiso.
Siyo huyo wa bidhaa za ngozi,huyu marehemu mishe zake tangu ujana ni wizi na ujambazi akiwa na Mchungaji Munishi enzi hizo. Marehemu ana visa vingi sana na ni mtu katili sana. Ngoja aende wanakostahili watu dizaini yake.
 
Back
Top Bottom