TANZIA Mfanyabiashara Emilian Woiso afariki dunia

Mzee alikua ni master kabisa...walienda walioenda na hakucheka na mtu! Ila mwishoni aliokoka kweli na trakea ikawa kanisa badala ya baa...woiso wa Wop ni kijana mdogo sana...sidhani hata kama 44 anafika...ila kwa umri wa woiso kulikua hamna namna ya namna ya kutafuta hela kipindi chao...hela ilikua haipatikani instagram ilibidi uichukue kwa watu!
 
Apumzike anapostahili 🥲
 
Mzee Emil Lesheya Woiso amefariki leo asubuhi. Msiba upo nyumbani kwake Tegeta karibu na IPTL.

Alikuwa mmiliki wa Tarakea Restaurant pale Mwenge na Cornelius Girls Secondary School pale Tegeta Skanska

Mzee Emil Lesheya Woiso amefariki leo asubuhi. Msiba upo nyumbani kwake Tegeta karibu na IPTL.

Alikuwa mmiliki wa Tarakea Restaurant pale Mwenge na Cornelius Girls Secondary School pale Tegeta Skanska

Pole kwa Wafiwa,
 
Mkuu kuna wakati nakula konyagi yangu nawaangalia watoto wangu naishia kucheka tu...nawaambia nyie mnapata hela kirahisi sana sa hv...ila kuna vitu ukihadithiwa utaona either uwongo au movie..kuna wakati inabidi uchukue hela za watu kinamna vyovyote tu hamna jinsi!
Ila ukiangalia watu wanavyopata pesa sahv na ukivuta picha miaka 80s mtu hana shamba wala kazi rasmi sasa sijui mtu kama huyu namma nyingine ya kupata pesa itakuwa ni ipi 😀
 
Amewahi kabla yangu

RIP MZEE
Mkuu wewe very soon unajinyonga .....hebu tafuta mshauri mkuuu kam una HIV sio mwisho wa maisha ....ila kunywa dawa vizuri maana ikifika AIDS hata nguvu ya kujinyonga utakuwa huna ...

Kama una kansa tumia morphine hadi mauti yatakapo kuja

Kama ni depression kaa na ndugu zako vizuri watakushauri namna bora kuepuka depression pia kukupa upendo epuka kukaaa pekee yako kuanzia sasa

Maana nimesoma uzi wako juzi na hiii reply yako naona una roho ya kujiua imeingia na kutoka huwa ni ngumu hadi ujiue usipopata ushauri
 
Back
Top Bottom