Kama wanawaona watanganyika ni kero walete hoja wajitoe kwenye muungano wakajifanyie mambo yao kwa uhuru, ila usultani ukirudi wasianze kuisumbua bara wasaidiwe. Usultani uko around, tena kwa sura mpya ya kisasa wakijitenga tu sultan anarudi kivingine kuja kutawala na hakuna rangi wataacha kuona wazanzibar kutoka kwa utawala ule wa kisultan japo atatawala kama kidemokrasia
 
Hawa jamaa kwanini wasilazamishe waite kura ya maoni wajitoe kwenye huu Muungano?

Hakuna Mtanganyika mwenye akili timamu anayeupenda huu muungano wa kimagumashi. HAKUNA.

Hakuna Mzanzibar anaeishi Tanzania Mainland anapenda huu Muungano uvunjike..

CCM ina maslahi gani na Zanzibar?
 
Naunga mkono hoja na naongezea NI LAZIMA WAPATE VIZA KUTOKA KWENYE UBALOZI ZANZIBAR WA DSM
 
Back
Top Bottom