Mbowe, Lowassa na Sumaye kuteka nchi - Ziara ya Mkoa kwa Mkoa

kamanda Magufuli ni chaguo la Mungu. jinsi wananchi walivyokuwa wakisali kumpata mtu ambaye atapambana na ufisadi ndio huyu tumempata. unataka nini tena. unataka mafisadi ndio watawale au ?hatukuelewi! njoo kivingine
Nitakua Mtetezi wa wanyonge.... Masikini Wanafunzi
 
Safi sana chama kikuu cha upinzani. Say no kwa wabaka demokrasia
kamanda wabaka demokrasia wa kwanza ni upinzani wetu.
-demokrasia kubwa na ambayo haitasahaulika kwa wanachama ni jinsi tulivyompata mgombea urais. ile ilikuwa aina gani ya demokrasia? kiasi cha kumfanya kamanda Dr Slaa na Lipumba kutimka ukawa?
 
kamanda Magufuli ni chaguo la Mungu. jinsi wananchi walivyokuwa wakisali kumpata mtu ambaye atapambana na ufisadi ndio huyu tumempata. unataka nini tena. unataka mafisadi ndio watawale au ?hatukuelewi! njoo kivingine
Mkuu usichanganye mambo, usichanganye habari.

Ni kweli watu walisali, tena sana. Lakini vile vile bado watu wanasali tena sana. Hitaji kuu ni kiongozi imara na thabiti.

Ktk hili tumwache Mungu akujibu kwa namna na muda ufaao kwake
 
Hizi habari njema sana Mkuu Molemo.

Lakini , Hivi huwa haiwezekani kuziandika kwa lugha ya kawaida tu? Maana inapotumika lugha nzito kama "CHADEMA KUITEKA NCHI" n.k, Huwapa hofu sana hawa "VILAZA WA MWENDO KASI, na usishangae kusikia mikutano inapigwa marufuku!

Hahaha... Vilaza wa mwendo kasi.. hii nimeipenda lol
 
kamanda wabaka demokrasia wa kwanza ni upinzani wetu.
-demokrasia kubwa na ambayo haitasahaulika kwa wanachama ni jinsi tulivyompata mgombea urais. ile ilikuwa aina gani ya demokrasia? kiasi cha kumfanya kamanda Dr Slaa na Lipumba kutimka ukawa?
Haki ya Kufanya mikutano kwenye vyama vya siasa ni sawa au si sawa?
 
Duh! Kweli tumepoteza mechi kama taifa staaa.
Kwahiyo hiyo Agenda ya Jamaa hafuati katiba ndio tunaingia nayo mkoa na kifua cha tongwa! Hakuna agenda nyingine maana Ile ya Ufisadi ilitupwa mtaroni?
hawatakujibu zaid ya matusi mkuu
 
kamanda wabaka demokrasia wa kwanza ni upinzani wetu.
-demokrasia kubwa na ambayo haitasahaulika kwa wanachama ni jinsi tulivyompata mgombea urais. ile ilikuwa aina gani ya demokrasia? kiasi cha kumfanya kamanda Dr Slaa na Lipumba kutimka ukawa?

Vipi kuhusu alivyopatikana mzee wa mwendokasi? Unafikiri haki ilitendeka? Kama hujui basi uliza kwa vilaza wenzio wakuambie sasahivi wanavyojuta kubaka demokrasia na kumpitisha mzee wa mwendokasi
 
Mkuu usichanganye mambo, usichanganye habari.

Ni kweli watu walisali, tena sana. Lakini vile vile bado watu wanasali tena sana. Hitaji kuu ni kiongozi imara na thabiti.

Ktk hili tumwache Mungu akujibu kwa namna na muda ufaao kwake
kwa hiyo unataka uchaguzi urudiwe au mpaka 2020. sikuelewi, kwa muda unaofaa kwa Mungu itakuwa lini.
 
Wana JF naomba msaada. Huyu Jesca anayetajwa sana humu mbona nachanganyikiwa??? Mi najua ni mke wa tumbili ... mtoto wa Kishoa ... Au wameachana???!!!
 
Enough!enough!enough now...we're tired now.Nchi hatuelewi inakwenda wapi zaidi ya kutafuta mikiki kwenye media,tumechoka.Watu wengi wameshashtuka kwamba walipotea njia.Sukari miezi mi2 sasa imeadimika inauzwa kama madawa ya kulevya.Nasema tumechoka,Inabidi watu wapate funzo kila uchaguzi unapofika,miaka mi5 si ya kuchezea.
 
Save the date

✌✌✌✌
Lazima niwepo kwa hawa wapigania wanyonge
Go go go go Cdm
 
Vipi kuhusu alivyopatikana mzee wa mwendokasi? Unafikiri haki ilitendeka? Kama hujui basi uliza kwa vilaza wenzio wakuambie sasahivi wanavyojuta kubaka demokrasia na kumpitisha mzee wa mwendokasi
ungejibu swali langu kwanza ingekuwa busara sana. style yako ya kujibu swali inatufanya tu conclude tunayoyawaza yalifanyika namna ambavyo demokrasia ilivyobakwa wakati wa kumteua mgombea wa ukawa.ni lazima tuelezane wazi bila aibu.
 
mwezi wa tano na sita ni mwezi mbaya kwa jpm, hata mimi kuna nimenyongeka, lakini na hao chadema mpaka wachukuane wachaga watupu kwa niaba ya chama sipendi, strategy gani hii!

Jiongeze wewe, stuka kabla hujaingizwa kwenye list ya vilaza
 
Enough!enough!enough now...we're tired now.Nchi hatuelewi inakwenda wapi zaidi ya kutafuta mikiki kwenye media,tumechoka.Watu wengi wameshashtuka kwamba walipotea njia.Sukari miezi mi2 sasa imeadimika inauzwa kama madawa ya kulevya.Nasema tumechoka,Inabidi watu wapate funzo kila uchaguzi unapofika,miaka mi5 si ya kuchezea.
Hivi wale waliokua wanacheza ile nyimbo isemayo ccm ni ile ile ohh ni ile ile hivi baado wapo au wanasoma number mkuu?
 
kamanda Magufuli ni chaguo la Mungu. jinsi wananchi walivyokuwa wakisali kumpata mtu ambaye atapambana na ufisadi ndio huyu tumempata. unataka nini tena. unataka mafisadi ndio watawale au ?hatukuelewi! njoo kivingine

Tobaaaaa... chaguo la Mungu daaah, acha kumsingizia Mungu basi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom