Boniphace Bembele Ng'wita
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 3,447
- 1,814
Wanabodi heshima kwenu wakuu!
Nimesoma kwenye gazeti la mwananchi toleo la leo 16/04/2024 ukurasa wa 17, kuwa RAIS DR SAMIA
atafanya ziara ya kikazi nchini Uturuki kwa mda wa siku 5 kuanzia tarehe 17/04/2024
Naomba nitoe maoni yangu binafsi juu ya hii ziara, kwa kuikumbusha tu taasisi ya Rais:
1) Tunayo mafuriko kule mbeya na rufiji kama sikosei na kuna wananchi hawana makazi
2) Shule zaidi ya 20 zimefungwa kwa sababu ya hali ya hewa na mafuriko kutokana na mvua zinazoondelea kunyesha maeneo tofauti tofauti
3) Sina uhakika kama mawasiliano ya miundombinu imerejeshwa kule mtwara.
Kwangu naona kwa upendo tu RAIS Angeshughulika na mambo ya ndani kama dharura, ili kupoza mioyo ya wananchi ambao kimsingi ndiyo wapiga kura haswa! furaha ya Raia 1 huongeza matumini kwa wengine 1000 zaidi.
Kwa kujua kuwa Mheshimiwa Rais unayo majukumu mengi pokea kama ombi ukiona yafaa unaweza kuisogeza mbele ziara yako ukashughulikia hayo machache ya dharura.
Naweza nisiwe mwandishi mzuri ila ujumbe wangu kwa Rais ni huo.
mr Bonny.
Pia soma > Rais Samia kufanya ziara ya kikazi ya Siku Tano Nchini Uturuki kuanzia Tarehe 17-21 Mwezi huu