Mbowe, Lowassa na Sumaye kuteka nchi - Ziara ya Mkoa kwa Mkoa

Naona CHADEMA Wanaenda Kushambulia Kanda ya Ziwa Mahali Ambapo Tuliaminishwa Kuwa ni CCM Inapendwa Eti Kwa Sababu ya Magufuli!Makamanda Bomoeni Uongo Huo!
 
BabaJesca tumekuaachaaa mnoooo ufanye siasa peke yako, sasa ni muda uanze kupata upinzani mkali.

Maana ulikua peke yako, sasa hivi ni jino kwa jino

Hahaha.. bab Jesca ametamba vya kutosha, sasa ni zamu yetu atupishe ! Afu hivi anajua kama jumatatu/jumanne tunaanza ramadhani na hatujui wapi tutapata sukari?
 
Nawezaje kuongezeka katik safu hiyo ya kuujuza umma kuwa BabaJesca kachemka?
 
wananchi hatutaki ujinga na upumbaf. tangu lini watuhumiwa wa ufisadi wakatetemesha nchi. labda kutetemesha kwa maana ya kutumia mapesa yao kurubuni wananchi na kuwadanganya. hatuko tayari na wala hatuna haja ya kufanya siasa saizi. tayari rais aliyepo ni mchapa kazi fullstop. msitupotezee muda. wananchi kwa sasa wanafanya shughuli zao za kuwapatia vipato na after all kila mtu sasa anajipanga ni namna gani tutaelekea uchumi kwa kati kwa pamoja. viongozi hawa wasitudanganye kwani wao wameshapita haka level ya uchumi wa kati wapo juu ni mabepari sasa. watuache na wengine tupambane. hatutaki siasa sasa tusubiri mwaka 2020
msitukumbushe machungu sahii. kwanza
kuna maswali magumu mpaka leo hawajawezakuyajibu kiasi cha kufanya wanachama wengi kuhama. imani imetoweka
hatujui
-ni demokrasia gani ilitumika kumpitisha mgombea Lowasa.
-ni kwa nini utaratibu wa awali wa kumpata mgombea wa ukawa ulitupiliwa mbali kiasi cha kufanya Dr Slaa na Lipumba kutimka. viongozi wenye nidhamu na maadili ya uongozi
-uko wapi ushahidi wa kuwatuhumu Lowasa na wenzake kuwa ni mafisadi. viongozi kina Lissu Mbowe Mnyika Lema Kubenea Mdee Msigwa walithibitisha wanao. je walinunuliwa na kuambiwa sasa wasizungumzie tena ?
-kama wanasema ilikuwa kete au kiki ya kisiasa basi viobgozi hawa hawatufaii na hawafai kupewa nchi kuongoza kwa sababu ni usanii mtupu. hatukubali.
-kuna mpango gani sasa wa kuwarudisha walipotoka watuhumiwa wote wa ufisadi ili chama sasa kijisafishe na kujivua gamba ?
 
wananchi hatutaki ujinga na upumbaf. tangu lini watuhumiwa wa ufisadi wakatetemesha nchi. labda kutetemesha kwa maana ya kutumia mapesa yao kurubuni wananchi na kuwadanganya. hatuko tayari na wala hatuna haja ya kufanya siasa saizi. tayari rais aliyepo ni mchapa kazi fullstop. msitupotezee muda. wananchi kwa sasa wanafanya shughuli zao
Kwahiyo mnatetemeshwa na Mizuka?
 
wananchi hatutaki ujinga na upumbaf. tangu lini watuhumiwa wa ufisadi wakatetemesha nchi. labda kutetemesha kwa maana ya kutumia mapesa yao kurubuni wananchi na kuwadanganya. hatuko tayari na wala hatuna haja ya kufanya siasa saizi. tayari rais aliyepo ni mchapa kazi fullstop. msitupotezee muda. wananchi kwa sasa wanafanya shughuli zao


Pole pole yakhe... unarusha mapovu ya nini sasa? Mtaani kwako mna uhakika wa chai kesho?
 
Hiyo team haikuwahi kushinda ni kama kumpa JPM ushindi wa chee. Malofa katika ubora wenu safari walionunua chama wanaingia front hapa kuwapopoa ni rahisi mno na inabidi kuwateka kabla hawajateka nchi.
Wao wameshastaafu wanataka kupotosha nguvu kazi, kila gia wanayoweka imeishia kuwachoma wenyewe. Kwanza waseme walishindwa kwa wakati wao na sasa wataweza.
 
Haya... Yetu macho mana tunameomba mungu atusaidie wengine wengine wanatenda maovu sasa Mungu atasimama wapi. Viva mbowe... Lowasa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom