TZ-1
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 3,344
- 5,674
Unaweka stika juu ya Tansk pale Diesel unawez on uchafu lakn ni MUHIM sanaSema Gari za Diesel ni mwanzo wa kulaumiana na wauza mafuta wakiona gari ndogo wanawaza petrol inabidi uwe extra care la sivyo unaingia gharama