Matajiri wanaitwa Ikulu kupata futari, sisi walalahoi tutaitwa 2025 kupanga foleni kupiga kura!

Ha ha ha ha ha daaah kuwaweka wafanyabiashara pale na mastaa sio poa kabisa wangeitwa hata kituo flani cha yatima au kikundi flani cha Akina mama ntilie labda cha magomeni pale
Kila mtu na nanfsi yake na mapenzi yake hapangiwi
 
Wandugu asalaam!

Kwanini mamlaka za Dunia zinamfanya maskini kuwa kijiko Cha kuchotea ubwabwa? Sisi wapanga foleni wakati wa kupiga kura! Na sisi ndio wapambe wakati wa kampeni .. baada ya uchaguzi mlalahoi anaachiwa vumbi TU ! Ikulu imekuwa sehemu ya matajiri kwa Kila jambo sisi tutaenda lini?

Vijana tuamke

... Ikulu hatuwezi kuenea; labda tukafuturishwe taifa ambapo napo hapatutoshi. The best option ni kuachana na mpango kama huo. Jukumu letu la msingi ni kupiga kura tena kura "zinazotakiwa" na tujitokeze kwa wingi.
 
Wandugu asalaam!

Kwanini mamlaka za Dunia zinamfanya maskini kuwa kijiko Cha kuchotea ubwabwa? Sisi wapanga foleni wakati wa kupiga kura! Na sisi ndio wapambe wakati wa kampeni .. baada ya uchaguzi mlalahoi anaachiwa vumbi TU ! Ikulu imekuwa sehemu ya matajiri kwa Kila jambo sisi tutaenda lini?

Vijana tuamke

Hao wenye miushingi wanamiliki makampuni gani!
 
Wandugu asalaam!

Kwanini mamlaka za Dunia zinamfanya maskini kuwa kijiko Cha kuchotea ubwabwa? Sisi wapanga foleni wakati wa kupiga kura! Na sisi ndio wapambe wakati wa kampeni .. baada ya uchaguzi mlalahoi anaachiwa vumbi TU ! Ikulu imekuwa sehemu ya matajiri kwa Kila jambo sisi tutaenda lini?

Vijana tuamke

Mkuu, kwa nukuu maandiko matakatifu imeandikwa,

Luka 19:26

“Akawajibu, ‘Nawaambia kwamba kila mwenye nacho, ataongezewa, bali yule asiye kuwa na kitu, hata kile kidogo alichonacho atanyangʼanywa"

Hii kanuni inatumika mbinguni na duniani. ndiyo maana wapo malaika wenyewe mabawa sita na pia wapo wenye mabawa mawili, kama ilivyo hapa duniani wapo wenye uwezo na pia wapo watu maskini.
 
Wawepo angalau wawakilishi wa masikini wale kwa niaba ya masikini wengine
Wewe sasa nongwa jamani ulitaka ftali ya taifa zima wale same wawakilisha hujui kwamba maskini ni wengi
 
Wandugu asalaam!

Kwanini mamlaka za Dunia zinamfanya maskini kuwa kijiko Cha kuchotea ubwabwa? Sisi wapanga foleni wakati wa kupiga kura! Na sisi ndio wapambe wakati wa kampeni .. baada ya uchaguzi mlalahoi anaachiwa vumbi TU ! Ikulu imekuwa sehemu ya matajiri kwa Kila jambo sisi tutaenda lini?

Vijana tuamke

Huu ndio ule ukumbi JPM (R.I.P) alitoa maagizo msaliti ashughulikiwe!?
 
Wandugu asalaam!

Kwanini mamlaka za Dunia zinamfanya maskini kuwa kijiko Cha kuchotea ubwabwa? Sisi wapanga foleni wakati wa kupiga kura! Na sisi ndio wapambe wakati wa kampeni .. baada ya uchaguzi mlalahoi anaachiwa vumbi TU ! Ikulu imekuwa sehemu ya matajiri kwa Kila jambo sisi tutaenda lini?

Vijana tuamke

Sipotezi mudawangu kwenye ujinga wachaguane wenyewe hivi wanaofunga kwalezma huwa hawafuturu?
 
Wandugu asalaam!

Kwanini mamlaka za Dunia zinamfanya maskini kuwa kijiko Cha kuchotea ubwabwa? Sisi wapanga foleni wakati wa kupiga kura! Na sisi ndio wapambe wakati wa kampeni .. baada ya uchaguzi mlalahoi anaachiwa vumbi TU ! Ikulu imekuwa sehemu ya matajiri kwa Kila jambo sisi tutaenda lini?

Vijana tuamke

na utakua unalala hoi hivyo hivyo kila siku
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom