Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,099
- 2,881
Wandugu asalaam!
Kwanini mamlaka za Dunia zinamfanya maskini kuwa kijiko Cha kuchotea ubwabwa? Sisi wapanga foleni wakati wa kupiga kura! Na sisi ndio wapambe wakati wa kampeni. Baada ya uchaguzi mlalahoi anaachiwa vumbi TU! Ikulu imekuwa sehemu ya matajiri kwa Kila jambo sisi tutaenda lini?
Vijana tuamke