Wasaalam!
Leo imekuwa siku yangu ya kwanza tangia nizaliwe kupima ukimwi! Na kupata majibu! Aisee roho kidogo iache mwili!
Nakumbuka Kuna siku nilinunua kipimo nikajipima Geto! Lakini kuangalia majibu ikawa ni ngum! Nikaamua nijifunge kitambaa usoni nikakafata kakipo bila kuona nikakafulashi chooni.
Nimewakumbumbuka wanawake wote ambao nishawahi kulala nao! Nikaanza kujiuliza nikikuta nimeukwaa ni nan kati Yao atakuwa amenipa! Mungu ni mkubwa Niko Poa.
Kuanzia Leo sipigi tena kavu! Wana Jamvi share exeperiance yako ilikuwaje siku yako ya kwanza kupima ukimwi!
Nawasilisha.