Mapinduzi ya nyanja ya Mapenzi na Mahusiano ( Dating is not for Weak)

Sea Beast

JF-Expert Member
Aug 5, 2022
1,907
4,092
Kama mfuatiliaji wa mitandano sasahivi kuna trending ya kupeana awareness na miongozo kuhusu mahusiano hususani suala zima la kuwa SIMP.

Hii miongozo mingi imekuwa ikiwahusu wanaume maana wanaume walikuwa ni watu wa kupambania uhusiano wao tu na wanawake kujiona kundi ambalo hawana wajibu wa kuchangia uhusiano kwenda kwa lugha rahisi kwamba ili uhusiano uende mbele basi mwanaume ajirahisishe richa ya kufanya yoote pia yeye ndio amtumie text na kumpigia mwanamke kilasiku akiacha basi mwanamke hamtafuti, sikuhizi unitafuti sikutafuti, huoneshi ushiriakiano Hunioni.

Suala la mahusiano limezidi kuwa gumu kilamtu hakubali kuwa upande wa SIMP, kila mmoja anamsukuma mwenzie awe upande SIMP.

Kwakifupi kwasasa jitahidi kivyovyote vile upande wa 'Nakupenda pia' sio upande wa 'Nakupenda' kwa mwanaume sio mbaya kuwa upande wa nakupenda ni Dafault kwasababu wewe ndio unatongoza ila as time goes hakikisha mwanamke ndiye anayekuwa upande wa nakupenda wewe uwe nakupenda pia.

20240421_121737.jpg
 
Back
Top Bottom