Man cuts off penis in restaurant...!

Mmh labda kaona dudu itamkosesha kwenda peponi, so kaamua aimuvuzishe tu. But me nahisi atakuwa na sababu kubwa tu ya kufanya hivyo. Si ajabu akawa amepatwa na matatizo ya akili. Pole yake

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom