UZUSHI Mama anayenyonyesha akifanya mapenzi anaweza kumdhoofisha (kumbemenda) mtoto

Baada ya tathmini, tumebaini kuwa taarifa hii ni ya uzushi
Zipo imani na madai ya mbalimbali ya kijamii yanayobainisha namna ambavyo mama anaweza kumdhoofisha (kumbemenda) mtoto wake baadhi ya madai hayo ni:

1. Baba na Mama hawapaswi kujamiiana wakati kipindi cha unyonyeshaji kwa sababu kufanya hivyo hupelekea mtoto wao kudhoofika (kumbemendwa).

2. Lazima mama aoge ajioshe na sabuni kwanza baada ya kujamiiana ndipo amnyonyeshe mtoto wake ili asimbemende.

3. Mama akipata ujauzito wakati bado ananyonyesha anaweza kumbemenda mtoto wake.

4. Mzazi akijamiiana nje ya ndoa akishiriki tena tendo na mwanamke wake anayenyonyesha anambemenda mtoto.

1667450883849.png
 
Tunachokijua
Kubemenda ni nadharia inayohusishwa na udumavu wa mtoto. Ni kitendo kinacho maanisha kushindwa kukua vizuri kwa mtoto kuendana na umri wake.

Udumavu huu huhusisha maeneno muhimu ya ukuaji wa ubongo, kimo, ongezeko la uzito wa mwili na uwezo wa mwili katika kupambana na magonjwa.

Watoto wenye udumavu wa aina hii hupitia changamoto nyingi za kiafya katika makuzi yao na madhara ya changamoto hii huendelea pindi wawapo shuleni na nyakati zingine za maisha yao ya kila siku.

Ukweli upoje?
JamiiCheck imepitia baadhi ya vyanzo mtandaoni ambavyo vinaeleza hoja hiyo ni imani tu za kijamii ambazo hazina ushahidi wa kisayansi.

Vyanzo hivyo vinaeleza kuwa Kitaalamu Baba na Mama wanaruhusiwa kujamiiana (kufanya mapenzi) mara tu baada ya SIKU 42 kupita tangu kujifungua.

Hii ni baada ya kukoma kwa majimaji na uchafu wa uzazi unaoitwa lochia.

Aidha, wataalamu hawa wanaeleza kuwa sababu ya mtoto kudhoofu na kutokua zinaweza kuchangiwa na mambo yafuatayo;
  • Mtoto kutokupata maziwa ya kutosha (mama hanyonyeshi, au hana maziwa ya kutosha au mtoto hanyonyi)
  • Uwepo wa maambukizi ya Magonjwa kama UKIMWI, magonjwa ya kuzaliwa nayo, pneumonia.
  • Mtoto kukosa lishe inayofaa, yaani utapiamlo pia huwa unadhoofisha mtoto na kuleta shida kwenye Ukuaji.
Ili kuboresha ukuaji wa mtoto wataalamu wa afya wanashauri Mama anyonyeshe Mtoto wake ipasavyo mara kwa mara (asipozingatia italeta shida kwenye ukuaji wa mtoto). Aidha, Mtoto anyonye miezi 6 pasipo kumpa kitu kingine chochote, akifika Miezi 6 hakikisha unampa lishe Bora (lishe yenye makundi yote ya vyakula) ili asipate utapiamlo.

Chanzo cha Nadharia hii
JamiiCheck imezungumza na baadhi ya wazee kujua sababu ya kuweka katazo la kufanya mapenzi kwa Mama anayenyonyesha.

Wanaeleza kuwa sababu zilizopelekea kusisitizwa kwa jambo hili ilikuwa ni kuepusha ujauzito wa mapema kabla mtoto hajakua vizuri na kuwafanya wanawake/ wasichana wawe waaminifu katika ndoa zao.

Zaidi ya hayo, JamiiCheck imezengumza na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Wanawake, Dkt. Godfrey Chale anayepatikana Jijini Dar es Salaam anafafanua:

Mama anayenyonyesha anaweza kuendelea kushiriki tendo na mwenza wake kama kawaida kwa muda wote wa ujauzito kadiri atakavyojisikia na kuona inafaa kwake.

Dhana ya kuwa anaweza kumbemenda mtoto akishiriki kujamiiana sio kweli, kisayansi na kitaalam hakuna ukweli juu ya suala hilo.

Aidha, Dkt. Chale anaeleza kuwa Mama anayenyonyesha akipata ujauzito anatakiwa kuendelea kunyonyesha kama kawaida.

Anatakiwa kufanya hivyo hadi miezi mitatu ya mwisho kabla ya kujifungua, ili maziwa yakate kisha yaanze kujitengeneza mengine kwa ajili ya mtoto atakayezaliwa.

Ikitokea mjamzito ameendelea kunyonyesha hadi anapojifungua, anaweza maziwa yatakosa ubora kiasi, hivyo mtoto atakayezaliwa atakosa maziwa mazuri na hivyo anaweza kukosa afya njema.

HITIMISHO
Hivyo, kutokana na vyanzo hivyo na ufafanuzi Wataalamu wa Afya hoja inayodai Mama anayenyonyesha akifanya mapenzi anaweza kumdhoofisha (kumbemenda) mtoto, haina ukweli.
Hao wataalamu wanashindwa kujua Acid zilizopo kwenye Shahawa za Baba mzazi ndio zilitumika kumpata mtoto so hazina shida zinapoingia kwenye mfo wa mwili wa mama na kufika hadi kwenye maziwa ya mama ila pale mama anapokutana na mwanaume mwingine zile acid ambazo zinapatikana kwenye shahawa zinapoingia kwenye mfumo wa mama ndio zinaathiri mtoto.

Wajitafakari hao wataalamu wetu.
 
Hao wataalamu wanashindwa kujua Acid zilizopo kwenye Shahawa za Baba mzazi ndio zilitumika kumpata mtoto so hazina shida zinapoingia kwenye mfo wa mwili wa mama na kufika hadi kwenye maziwa ya mama ila pale mama anapokutana na mwanaume mwingine zile acid ambazo zinapatikana kwenye shahawa zinapoingia kwenye mfumo wa mama ndio zinaathiri mtoto. Wajitafakari hao wataalamu wetu.
Uliwahi kuona mtoto wa kubambikiwa kabemendwa? Maana sio wa baba husika
 
Moja, Mtoto anadhoofu (anabemendwa) kwasabb mijasho ya midume anayokutana nayo huingingia mpk kwenye maziwa ya mama, na hivyo mtoto anainyonya.

Pili, Mama anaposhiriki tendo la ndoa na yeyote (mume/mchepuko) mwili unaji-format na kuufanya kujiweka ktk mazingira ya kula raha badala ya kulea. Hivyo maziwa na virutubisho vingine vya mtoto huacha kutolewa. Na kupelekea mtoto kuwa dhaifu.

Tatu, Miili yetu imetofautiana pH, blood groups na pheromones. Mama hupokea haya wakati wa ngono (hasa toka kwa mchepuko) na kumpatia mtoto kupitia maziwa. Tofauti hizi ndizo huathiri makuzi ya mtoto (anabemendeka).
 
Risk zipo ila wanaweza kufanya kama kawaida kwa kuzingatia mama anatakiwa awe ameshapumzika vya kutosha baada ya kujifungua. Maana kujifungua ni sawa na ugonjwa mwanamke anakuwa hahitaji purukushani za siku zote.

Mwanamke mwenye mtoto anae nyonyesha anaweza kufanya mapenzi kama kawaida na mwanaume wake. Ila ni vema yeye na mume wake azingatie mambo kadhaaa kama ifiatavyo:

1. Mwanaume na mwanamke wasiwe watu wa ufuska. Inawezekana mwanaume katoka huko ameshikana na mwanamke sehemu za siri na pengine huyo mwanamke ana maambukizi ya magonjwa ya zinaa. Yale maji maji na vimelea hubaki kwenye mikono na mwili wa mwanaume sehemu alizoshikana na mwanamke.

So akifika akamgusa mkewe au mtoto ni likely anaweza gusisha vimelea kwa mtoto na mkewe na mkumletea madhara ambayo yanaweza hata kupelekea kubemenda.

2. Katika kufanya mapenzi, mama anayenyonyesha anaweza shika ujauzito tena huku akiwa ananyonyesha. Sasa hii ni mbaya kwasababu maziwa ya mama yataanza kushuka virutubisho kama matokeo ya mwili kuadjust flow ya virutubisho kutoka kutengeneza maziwa na sasa kuuandaa mwili kukuza kichanga kipya tumboni kwa mama.

Mtoto akinyonya haya maziwa atakuwa ananyonya maji tu yasiyokuwa na lishe sawa sawa na mfuga kuku wa kisasa kuwapa vifanga wa wiki moja mapumba badala ya starter,je watakuwa au watadumaa na hata kufa?! Hii itaathiri ubongo, uti wa mgongo na mifupa eventually mtoto anaweza kubemendwa.

Mwanamke anayenyonyesha, ukigundua una ujauzito kimbia clinic haraka utapewa ushauri wa lishe ya mtoto ili umbadilishie na kujiandaa kulea ujauzito mpya haraka sana. Kichanga aliyezaliwa anaweza ishi na kukuzwa kwa maziwa ya kopo na atakuwa vema tu. Wapo watoto mama zao hufariki siku wanazaliwa, unadhani hawa wanalishwaga nini hadi wanakuwa wakubwa?!

3. Sasa kunaeneo jingine ambalo watu hawajui unaweza bemenda mtoto na halihusiani na ngono. Ni eneo la lishe. Mwanamke ni vema sana kuulinda mwili wako kwa kula 80% ya vyakula vyako vya siku vyenye ubora na sio haya ma junk food. Mwili wako muda wowote utakaposhika ujauzito unaanza kufyonza virutubisho mwilini mwako na kuanza kuunda mtoto.

Sasa wewe kama unapenda kula chipsi mayai, soda, beer, na vyakula vingine ambavyo si imara, then jua una alter na kubadilisha DNA signature uliyopewa na ancestors wetu wa Africa. Si unaona wazungu kansa zinavyowasumbua na ni kama zipo embedded kwenye DNA kwa sasa. Mtoto anazaliwa miezi michache tu tayari ana kansa.

Sasa wapo wanawake wanakunywa sana soda wakati wa ujauzito, components za soda zina madhara kwenye ubongo wa mtoto aliyetumboni, unaweza mbemenda hata kabla hajazaliwa anatoka anashida ya uti wa mgongo hawezi kukaa au kutembea. Au unakula mboga za majani zilizofanyiwa fumigation muda mfupi kabla ya kuchumwa, ikipikwa, sumu zinapita kwa mtoto na kuharibu ubongo wake.

Yapo mengi ya kuandika ila nitaishia hapa. Kwa ufupi ni kwamba kubemenda mtoto ni matokeo ya tendo lolote ambalo litasababisha mtoto kutopata ulinzi wa mama yake kiafya na kusababisha damage especially ubongo na uti wa mgongo simply hivyo tu.

So chochote utafanya kuanzia ulaji wako, ngono zembe, na hata watu wanaokuja kumshika mtoto aliyezaliwa ndio maana mila zetu zinashauri siku 40 za kwanza mtoto asitoke nje ili kulinda afya yake awe at least strong.

Yule shost yako anaweza kuja busu mtoto wako mwenye wiki mbili shavuni, mkononi, kwenye paji la uso au mdomoni kumbe ametoka kuFrench Kiss Fiancee wake aliyetoka kulamba chumvini ya side chick ambaye anatoka na mwarabu ambaye anamla tigo na kuchomeka mbele na nyuma na kumpa maradhi yasiyotibika. Mtoto anaweza pata homa kali na kudhurika ubongo pengine hata kufa.

Hata mama anaweza dhuru mtoto wake asipokuwa msafi kwa kuoga vizuri na kunawa mikono yake na kuweka nguo, mazingira ya mtoto na vyombo vya mtoto safi masaa yote.

Ndio maana ni vema na muhimu sana kwa mwanaume unapoamua kujenga familia yako ulinzi unaanza na wewe kujali afya yako, mkeo na mtoto.

Pia ndio maana tunasisitiza sana watoto wa kike kujiandaa kuwa na mke wa mwanaume m'moja ili kuepusha matatizo kama haya. Inaweza tokea mwanaume ni mstaarabu ila mwanamke ni changamoto hajitambui.

Anaingiza wanaume ndani au anaruka na wanaume huku ananyonyesha mtoto. Huku ndipo vimelea vya ngono hutokea. Imagine mwanamke anacheat katoroka kamuacha mtoto na house girl, mume anarudi ghafla, mwanamke anarudi kutoka katika uhuni wake anakuta mume ameshika mtoto anaelia sana sababu hajanyonya.

Panic inamsahaulisha alipotoka anafikia kumshika mtoto na kubeba na kuanza kumnyonyesha titi ambalo alipokuwa anakunjwa jamaa walikuwa wananyonyana sehemu za siri na kunyonyana midomo na jamaa analamba chuchu za mtoto. Mtoto anyonya na kumeza vimelea na vinakwenda kumuathiri.

Au baba katoka nje kupigana mashine na mchepuko wamenyonyana papuchi na dushe na kunyonyana lipsi, jamaa anafika home anaanza kumshika mkewe kwa mahaba, mala wamekiss au pengine na yeye kunyonya chuchu za mtoto ( i hope mshasikia malalamiko ya akina mama kuwa kuna wanaume wananyonya maziwa ya watoto) mtoto anakuja pewa hii chuchu yenye vimelea tayari anaanza kupata changamoto.

Ila pia kuna changamoto ya kisasa ambayo ni ndogo ila inakuwa. Watoto wanapata changamoto kupitia watu tunaowaacha nao majumbani. Kuna case za watoto kufanyiwa matendo ya uchafu na yasiyoelezeka kama kijana kumnyonyesha mtoto wa ndugu yake dushe na shahawa mtoto akazimeza, au house girl kumpeleka uvinza mtoto hadi akafika kileleni. Haya matukio na mengine yasiyoelezeka ni rahisi sana kubemenda mtoto.

Mambo ni mengi tuchukue tahadhari
 
Hao wataalamu wanashindwa kujua Acid zilizopo kwenye Shahawa za Baba mzazi ndio zilitumika kumpata mtoto so hazina shida zinapoingia kwenye mfo wa mwili wa mama na kufika hadi kwenye maziwa ya mama ila pale mama anapokutana na mwanaume mwingine zile acid ambazo zinapatikana kwenye shahawa zinapoingia kwenye mfumo wa mama ndio zinaathiri mtoto.

Wajitafakari hao wataalamu wetu.
Acid??😝
 
Which is talking???? Acid whaaat??? Cha muhimu tutafute hela tuu wanyonyeshaji wale vizuri (well balanced diet) hayo mengine bado wanayansi hawajathibitisha
 
Hao wataalamu wanashindwa kujua Acid zilizopo kwenye Shahawa za Baba mzazi ndio zilitumika kumpata mtoto so hazina shida zinapoingia kwenye mfo wa mwili wa mama na kufika hadi kwenye maziwa ya mama ila pale mama anapokutana na mwanaume mwingine zile acid ambazo zinapatikana kwenye shahawa zinapoingia kwenye mfumo wa mama ndio zinaathiri mtoto.

Wajitafakari hao wataalamu wetu.
Acid gani na wewe? wabongo bwana!!!
 
Hakuna kitu kitu kinaitwa kubemendwa hizo ni imani za kiswahili tu.
 
Umeeleza vizuri Sana mkuu.Natumai kila atakayesoma hii comment yako hatatoka kapa lazima atajifunza kitu.Kwa upande wangu nimefaidika Sana na huu ujumbe wako. Hongera Sana.
Risk zipo ila wanaweza kufanya kama kawaida kwa kuzingatia mama anatakiwa awe ameshapumzika vya kutosha baada ya kujifungua. Maana kujifungua ni sawa na ugonjwa mwanamke anakuwa hahitaji purukushani za siku zote...
 
Hii dhana ya kubemenda haipo. Wengi wa watoto wanaosemwa kubemendwa ni ukosefu wa lishe. Na wengi wa watoto hao wanatokea kwenye familia zenye kipato kidogo au maskini kabisa.

Huwezi kukuta mtoto wa mtu mwenye uwezo wa kumnunulia mwanae lishe akadhoofu afya.

Miaka ya nyuma pale KCMC walikuwa na kitengo cha lishe kwa watoto wenye utapiamlo. Kikiitwa NURU. Nakumbuka kuna familia zilizokuwa za kimaskini watoto wao walikuwa wakipelekwa pale kwa ajili ya kupewa uji wenyebloshe na maziwa.

Kubemenda hakupo. Mtoto kama huyo dr atampa tiba ya aina gani kama sio lishe?
 
Mtoa mada ungekuwa specific kwamba kufanya mapenzi na nani?

Baba wa mtoto anaweza kufanya mapenzi wakati wowote ule na mama wa mtoto wake hata kama mtoto bado ananyonya na athari zisistokee kabisa. Wengi wa wazazi huanza kujamiana baada ya mtoto kufikisha siku 40.

Tatizo linakuja kama mama atafanya mapenzi na mwanaume ambaye si baba wa mtoto hapo mtoto huathirika, anadhoofu ki afya both mwili na akili na anaweza hata ashindwe kutembea kwa wakati au hata kuwa na mtindio wa ubongo.

Huu ni ukweli ingawa Sayansi bado inapinga suala hili.
 
Risk zipo ila wanaweza kufanya kama kawaida kwa kuzingatia mama anatakiwa awe ameshapumzika vya kutosha baada ya kujifungua. Maana kujifungua ni sawa na ugonjwa mwanamke anakuwa hahitaji purukushani za siku zote.

Mwanamke mwenye mtoto anae nyonyesha anaweza kufanya mapenzi kama kawaida na mwanaume wake. Ila ni vema yeye na mume wake azingatie mambo kadhaaa kama ifiatavyo:

1. Mwanaume na mwanamke wasiwe watu wa ufuska. Inawezekana mwanaume katoka huko ameshikana na mwanamke sehemu za siri na pengine huyo mwanamke ana maambukizi ya magonjwa ya zinaa. Yale maji maji na vimelea hubaki kwenye mikono na mwili wa mwanaume sehemu alizoshikana na mwanamke.

So akifika akamgusa mkewe au mtoto ni likely anaweza gusisha vimelea kwa mtoto na mkewe na mkumletea madhara ambayo yanaweza hata kupelekea kubemenda.

2. Katika kufanya mapenzi, mama anayenyonyesha anaweza shika ujauzito tena huku akiwa ananyonyesha. Sasa hii ni mbaya kwasababu maziwa ya mama yataanza kushuka virutubisho kama matokeo ya mwili kuadjust flow ya virutubisho kutoka kutengeneza maziwa na sasa kuuandaa mwili kukuza kichanga kipya tumboni kwa mama.

Mtoto akinyonya haya maziwa atakuwa ananyonya maji tu yasiyokuwa na lishe sawa sawa na mfuga kuku wa kisasa kuwapa vifanga wa wiki moja mapumba badala ya starter,je watakuwa au watadumaa na hata kufa?! Hii itaathiri ubongo, uti wa mgongo na mifupa eventually mtoto anaweza kubemendwa.

Mwanamke anayenyonyesha, ukigundua una ujauzito kimbia clinic haraka utapewa ushauri wa lishe ya mtoto ili umbadilishie na kujiandaa kulea ujauzito mpya haraka sana. Kichanga aliyezaliwa anaweza ishi na kukuzwa kwa maziwa ya kopo na atakuwa vema tu. Wapo watoto mama zao hufariki siku wanazaliwa, unadhani hawa wanalishwaga nini hadi wanakuwa wakubwa?!

3. Sasa kunaeneo jingine ambalo watu hawajui unaweza bemenda mtoto na halihusiani na ngono. Ni eneo la lishe. Mwanamke ni vema sana kuulinda mwili wako kwa kula 80% ya vyakula vyako vya siku vyenye ubora na sio haya ma junk food. Mwili wako muda wowote utakaposhika ujauzito unaanza kufyonza virutubisho mwilini mwako na kuanza kuunda mtoto.

Sasa wewe kama unapenda kula chipsi mayai, soda, beer, na vyakula vingine ambavyo si imara, then jua una alter na kubadilisha DNA signature uliyopewa na ancestors wetu wa Africa. Si unaona wazungu kansa zinavyowasumbua na ni kama zipo embedded kwenye DNA kwa sasa. Mtoto anazaliwa miezi michache tu tayari ana kansa.

Sasa wapo wanawake wanakunywa sana soda wakati wa ujauzito, components za soda zina madhara kwenye ubongo wa mtoto aliyetumboni, unaweza mbemenda hata kabla hajazaliwa anatoka anashida ya uti wa mgongo hawezi kukaa au kutembea. Au unakula mboga za majani zilizofanyiwa fumigation muda mfupi kabla ya kuchumwa, ikipikwa, sumu zinapita kwa mtoto na kuharibu ubongo wake.

Yapo mengi ya kuandika ila nitaishia hapa. Kwa ufupi ni kwamba kubemenda mtoto ni matokeo ya tendo lolote ambalo litasababisha mtoto kutopata ulinzi wa mama yake kiafya na kusababisha damage especially ubongo na uti wa mgongo simply hivyo tu.

So chochote utafanya kuanzia ulaji wako, ngono zembe, na hata watu wanaokuja kumshika mtoto aliyezaliwa ndio maana mila zetu zinashauri siku 40 za kwanza mtoto asitoke nje ili kulinda afya yake awe at least strong.

Yule shost yako anaweza kuja busu mtoto wako mwenye wiki mbili shavuni, mkononi, kwenye paji la uso au mdomoni kumbe ametoka kuFrench Kiss Fiancee wake aliyetoka kulamba chumvini ya side chick ambaye anatoka na mwarabu ambaye anamla tigo na kuchomeka mbele na nyuma na kumpa maradhi yasiyotibika. Mtoto anaweza pata homa kali na kudhurika ubongo pengine hata kufa.

Hata mama anaweza dhuru mtoto wake asipokuwa msafi kwa kuoga vizuri na kunawa mikono yake na kuweka nguo, mazingira ya mtoto na vyombo vya mtoto safi masaa yote.

Ndio maana ni vema na muhimu sana kwa mwanaume unapoamua kujenga familia yako ulinzi unaanza na wewe kujali afya yako, mkeo na mtoto.

Pia ndio maana tunasisitiza sana watoto wa kike kujiandaa kuwa na mke wa mwanaume m'moja ili kuepusha matatizo kama haya. Inaweza tokea mwanaume ni mstaarabu ila mwanamke ni changamoto hajitambui.

Anaingiza wanaume ndani au anaruka na wanaume huku ananyonyesha mtoto. Huku ndipo vimelea vya ngono hutokea. Imagine mwanamke anacheat katoroka kamuacha mtoto na house girl, mume anarudi ghafla, mwanamke anarudi kutoka katika uhuni wake anakuta mume ameshika mtoto anaelia sana sababu hajanyonya.

Panic inamsahaulisha alipotoka anafikia kumshika mtoto na kubeba na kuanza kumnyonyesha titi ambalo alipokuwa anakunjwa jamaa walikuwa wananyonyana sehemu za siri na kunyonyana midomo na jamaa analamba chuchu za mtoto. Mtoto anyonya na kumeza vimelea na vinakwenda kumuathiri.

Au baba katoka nje kupigana mashine na mchepuko wamenyonyana papuchi na dushe na kunyonyana lipsi, jamaa anafika home anaanza kumshika mkewe kwa mahaba, mala wamekiss au pengine na yeye kunyonya chuchu za mtoto ( i hope mshasikia malalamiko ya akina mama kuwa kuna wanaume wananyonya maziwa ya watoto) mtoto anakuja pewa hii chuchu yenye vimelea tayari anaanza kupata changamoto.

Ila pia kuna changamoto ya kisasa ambayo ni ndogo ila inakuwa. Watoto wanapata changamoto kupitia watu tunaowaacha nao majumbani. Kuna case za watoto kufanyiwa matendo ya uchafu na yasiyoelezeka kama kijana kumnyonyesha mtoto wa ndugu yake dushe na shahawa mtoto akazimeza, au house girl kumpeleka uvinza mtoto hadi akafika kileleni. Haya matukio na mengine yasiyoelezeka ni rahisi sana kubemenda mtoto.

Mambo ni mengi tuchukue tahadhari
Kupitia hii comment nimejifunza mengi. Ahsante.
 
Similar Discussions

9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom