Mada: Fahamu namna ya kufungua (Ku- unlock) Moderm za aina mbalimbali

Habar zenu wapendwa. Naomba mnisaidie jinsi ya ku-unlock modem yangu ya huawei. Ni huawei e 303 yenye IMEI 866452012471385. Ndg zangu neishaangaika sana bila mafanikio NAWATEGEMEA SANA.
 
Download software inaitwa mobile partner fanya instillation kwenye pc yako ingiza modem yako kwa laini nyengine connect kwa kutumia mobile patner itakuomba unlock code yako ni 34377982 kula vitu kwa kutumia mobile partner software mimi nimefanikiwa kwa njia hiyo
 
Hii nayo njia mpya na ni rahisi mno
 
wakuu mnaweza toa link ya mobile partiner? alafu mi natumia huawei ae220 imei ni356635028231408. msaada na mimi tafadhali.
 
Habar zenu wapendwa. Naomba mnisaidie jinsi ya ku-unlock modem yangu ya huawei. Ni huawei e 303 yenye IMEI 866452012471385. Ndg zangu neishaangaika sana bila mafanikio NAWATEGEMEA SANA.

Kama unahitaji kufungua e303 yako huawei Modem ya kwanza unaweza kutembelea tovuti hii Classicunlocking.com hapa unaweza kupata kanuni kufungua na kufungua e303 yako huawei kwa urahisi
 
habari yako,je ushajaribu ku unlock hiyo modem na DC unloacker software kama bado jaribu ku unlock na hii software.
 
Niliyoyasikia ni kwamba hii modem ni 14Mbps modem.

Kama ni kweli basi Nichukue nafasi hii kuwapongeza Tigo kwa kuleta revolution kwa Tanzania maana utakua mtandao wa Kwanza kuuza officially modem zenye HSDPA speed up to 14Mbps

Sasa ni wakati wa kila mmoja kunguta speed kuanzia 1MB/Sec mpaka 1.8MB/sec

Na nachukua nafasi hii kupongeza Mwl.RCT kwa kuweza kuleta unlock trick ndani ya siku chache tu

Kazi kwenu sasa ingizeni Airtel muone speed zake
 
Last edited by a moderator:
Niliyoyasikia ni kwamba hii modem ni 14Mbps modem
Kama ni kweli basi Nichukue nafasi hii kuwapongeza Tigo kwa kuleta revolution kwa Tanzania maana utakua mtandao wa Kwanza kuuza officially modem zenye HSDPA speed up to 14Mbps...

kitu kinakimbiza mbaya yaani we hacha tu. Kumbe hizi model zinakuwaga na kizuizi cha speed
 
Niliyoyasikia ni kwamba hii modem ni 14Mbps modem
Kama ni kweli basi Nichukue nafasi hii kuwapongeza Tigo kwa kuleta revolution kwa Tanzania maana utakua mtandao wa Kwanza kuuza officially modem zenye HSDPA speed up to 14Mbps...

Kama kweli inafika 14Mps itanifaa sana,na ni bonge la revolution tiGo wamecheza vizuri soon nami ntavuta yangu nile kuku kwa mrija
 
Last edited by a moderator:
Kama kweli inafika 14Mps itanifaa sana,na ni bonge la revolution tiGo wamecheza vizuri soon nami ntavuta yangu nile kuku kwa mrija

Ila kuna mda mmoja kanambia kuwa uki unlock inakuwa 7.2Mbps
je Mwl.RCT umelibaini hilo kibindi una unlock yako?
 
Last edited by a moderator:
Ila kuna mda mmoja kanambia kuwa uki unlock inakuwa 7.2Mbps
je Mwl.RCT umelibaini hilo kibindi una unlock yako?

  • Hawei E303 -[ Downlink speed: 7.2Mbps / Uplink speed: 5.76Mbps ]
  • Sidhani kama utaweza kuifanya iwe 14Mps just kwa kuifanyia Unlocking kwa ku_downgrade firmware yake.
  • ​Nadhali ya kuongezeka speed labda itumike kwa kuwa firmware unayowekwa wakati una_unlock ni ya HUAWEI E3531 - Ambayo ilitoka mwishoni mwa 2013, wakati Hii HUAWEI E303 ilitoka April 2014
Huawei E3531 comes available in 4th Quarter of 2013, as a new surf stick on the market. Huawei E3531 is mainly for Germany operators. Depending on the rate and network environment, the download speeds could reach up to 21.6 Mbit/s and upload speeds achievable could reach to 5.76 Mbps.
  • Rejea hapo juu comment #5 na #8 - Hii bado sijaithibitisha, labda wengine walete mrejesho

  • Hawei E303 -[ Downlink speed: 7.2Mbps / Uplink speed: 5.76Mbps ]
  • Sidhani kama utaweza kuifanya iwe 14Mps just kwa kuifanyia Unlocking kwa ku_downgrade firmware yake.
  • ​Nadhali ya kuongezeka speed labda itumike kwa kuwa firmware unayowekwa wakati una_unlock ni ya HUAWEI E3531 - Ambayo ilitoka mwishoni mwa 2013, wakati Hii HUAWEI E303 ilitoka April 2014

  • Rejea hapo juu comment #5 na #8 - Hii bado sijaithibitisha, labda wengine walete mrejesho

Nimekusoma kaka,na shukrani sana kwa hii trick kilichobaki ni kuvuta modem yangu sasa
 
nimewauliza Tigo wenyewe wanasema speed ni 7.2Mbps
Niliyoyasikia ni kwamba hii modem ni 14Mbps modem
Kama ni kweli basi Nichukue nafasi hii kuwapongeza Tigo kwa kuleta revolution kwa Tanzania maana utakua mtandao wa Kwanza kuuza officially modem zenye HSDPA speed up to 14Mbps
Sasa ni wakati wa kila mmoja kunguta speed kuanzia 1MB/Sec mpaka 1.8MB/sec

Na nachukua nafasi hii kupongeza Mwl.RCT kwa kuweza kuleta unlock trick ndani ya siku chache tu

Kazi kwenu sasa ingizeni Airtel muone speed zake
 
  • Hawei E303 -[ Downlink speed: 7.2Mbps / Uplink speed: 5.76Mbps ]
  • Sidhani kama utaweza kuifanya iwe 14Mps just kwa kuifanyia Unlocking kwa ku_downgrade firmware yake...
Yap kaka thanks sana mana nilikuwa ninayo kwenye droo nasubiri ku-unlock tu.. sasa nataka nifanye dual ya hii pamoja na zte mf900 nione kama nitapata ongezeko la speed via connectify mkuu.BIG UP and keep em coming broda..
 
nimewauliza Tigo wenyewe wanasema speed ni 7.2Mbps

Si ajabu wewe umewapigia wale wa customer care
Cha kufanya angalia Juu ya Box lako imeandikwa kabisa 14Mbps
Au nenda Control panel kwenye available connections itakua ineandikwa

  • Hawei E303 -[ Downlink speed: 7.2Mbps / Uplink speed: 5.76Mbps ]
  • Sidhani kama utaweza kuifanya iwe 14Mps just kwa kuifanyia Unlocking kwa ku_downgrade firmware yake.
  • ​Nadhali ya kuongezeka speed labda itumike kwa kuwa firmware unayowekwa wakati una_unlock ni ya HUAWEI E3531 - Ambayo ilitoka mwishoni mwa 2013, wakati Hii HUAWEI E303 ilitoka April 2014

  • Rejea hapo juu comment #5 na #8 - Hii bado sijaithibitisha, labda wengine walete mrejesho

Mkuu hii modem ya Tigo nimeiona leo na juu ya BOX wameandika HSDPA speed up to 14Mbps...

Na ndo maana nasema kuna mtu baada ya ku unlock speed ya modem yake imeshuka from 14Mbps na kua 7.2Mbps
 
YAP KAKA. thanx sana mana nilikuwa ninayo kwenye droo nasubiri ku-unlock tu.. sasa nataka nifanye dual ya hii pamoja na zte mf900 nione kama nitapata ongezeko la speed via connectify mkuu.BIG UP and keep em coming broda..
  • Good News Version 9 ya Connectify Dispatcher cracker yake ipo tayari.
  • Nitaiweka JF store soon
 
Si ajabu wewe umewapigia wale wa customer care
Cha kufanya angalia Juu ya Box lako imeandikwa kabisa 14Mbps
Au nenda Control panel kwenye available connections itakua ineandikwa...
Ki ukweli hii modem ni 14Mbps maana Mimi ninayo hapa naitumia kwenye mtandao wetu wa Airtel kitu inagonga vizuri tu 1.400MB/sec kwenye idm but kwenye dashboard haivuki 6Mbps sijui kwanini

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom