Mabinti wahitimu wa vyuo Amkeni

Chinedu5

JF-Expert Member
Apr 20, 2015
761
2,729
Habari za muda huu wana jamvi

Naandika uzi huu nikiwa kwenye daladala nikirejea nyumbani kutoka kwenye "mihangaiko" ya Kila siku
Ndani ya daladala nmekaa karibu na wakina mama wawili wakipare(nimesikia wakiongea kipare). Hawa kina mama wanaelezana kuhusu tabia mbaya za mabinti zao waliohitimu vyuo ambao umri unaenda na hawajapata kazi Wala hawajachumbiwa.

Kinachowauma zaidi ni tabia ya Hawa "mabinti" kushinda ndani na kutizama movie muda wote badala ya kutoka nje watembee tembee huwenda wakakutana na "ngekewa".

Namnukuu mmoja akisema "Yani Bora wa kwako hata kanisani anaenda, Mimi huyu wangu hatoki hata kwenda dukani hataki, hana hata marafiki akatembee huko anaweza akapata mume njiani lipo lipo tu"

Wadogo zangu wa kike jitahidini kutembea tembea mama zenu wanataka muolewe mtazeekea ndani.
 
Ushauri murua. Kwa kuwa wamehitimu vyuo na wanadoda nyumbani bora wachangamkie fursa ya kuolewa chapchapu wapate watoto huku wakiendelea kutafuta ajira tayari wakiwa ndani ya ndoa, watakuwa wamepunguza stress upande mmoja huku wakijishughulisha na ujasiriamali/kilimo. Ila waolewe na wanaume ambao wataheshimu taaluma zao na watawapenda kwa dhati
 
Habari za muda huu wana jamvi

Naandika uzi huu nikiwa kwenye daladala nikirejea nyumbani kutoka kwenye "mihangaiko" ya Kila siku
Ndani ya daladala nmekaa karibu na wakina mama wawili wakipare(nimesikia wakiongea kipare). Hawa kina mama wanaelezana kuhusu tabia mbaya za mabinti zao waliohitimu vyuo ambao umri unaenda na hawajapata kazi Wala hawajachumbiwa.

Kinachowauma zaidi ni tabia ya Hawa "mabinti" kushinda ndani na kutizama movie muda wote badala ya kutoka nje watembee tembee huwenda wakakutana na "ngekewa".

Namnukuu mmoja akisema "Yani Bora wa kwako hata kanisani anaenda, Mimi huyu wangu hatoki hata kwenda dukani hataki, hana hata marafiki akatembee huko anaweza akapata mume njiani lipo lipo tu"

Wadogo zangu wa kike jitahidini kutembea tembea mama zenu wanataka muolewe mtazeekea ndani.
Wako sahihi!
 
Hali ya upatikanaji wa ajira imekuwa tete kutokana na wahitimu wengi kuwepo mitaani bila kuajiriwa na haijulikani watapata ajira lini. Kuna msoto mkali kwa wahitimu na serikali haina mkakati wa kuajiri kwa haraka wahitimu ili wasidode mitaani. Unaweza ukadoda mitaani miaka hata mitano au zaidi kama hutajiongeza kutafuta fursa zingine nje ya taaluma uliyosomea. Kwa mabinti wenye ndoto za kuwa na familia/watoto ni bora wakaingia kwenye ndoa haraka kabla ya umri kupanda. Wakiwa ndani ya ndoa wataendelea kusaka ajira walizozisomea kuliko kusubiri mpaka wapate ajira ndio waolewe, watachakaa na kuonekana ni wakongwe na hawatazaa wakiolewa. Kama hawataki kuolewa basi wazae tu na wapenzi wao kisha wakubali changamoto za usingo mama
 
Habari za muda huu wana jamvi

Naandika uzi huu nikiwa kwenye daladala nikirejea nyumbani kutoka kwenye "mihangaiko" ya Kila siku
Ndani ya daladala nmekaa karibu na wakina mama wawili wakipare(nimesikia wakiongea kipare). Hawa kina mama wanaelezana kuhusu tabia mbaya za mabinti zao waliohitimu vyuo ambao umri unaenda na hawajapata kazi Wala hawajachumbiwa.

Kinachowauma zaidi ni tabia ya Hawa "mabinti" kushinda ndani na kutizama movie muda wote badala ya kutoka nje watembee tembee huwenda wakakutana na "ngekewa".

Namnukuu mmoja akisema "Yani Bora wa kwako hata kanisani anaenda, Mimi huyu wangu hatoki hata kwenda dukani hataki, hana hata marafiki akatembee huko anaweza akapata mume njiani lipo lipo tu"

Wadogo zangu wa kike jitahidini kutembea tembea mama zenu wanataka muolewe mtazeekea ndani.
Kwani kuolewa ndiyo kutoka kimaisha???!!!
 
Kuna siku tulikuwa na mjadala kati ya Ke na Me wakihitimu chuo ni yupi msoto wake unakuwa wa kutisha

1. Wa kike anashinda ndani kutizama Tv, ila anasimakia shuguli za jikon ambapo chakula kula uhakika

2. Wa kiume huwa tunajifungia chumbani, na watu wakikuchoka watapika watakula bila kukustua ili baadae waseme tulijua ulitoka.

Ila msoto wa baada ya chuo heshima kwake, ukiwaza na kidgree chako cha kukariri notes za community development na huku jamii ilokujaza bichwa ukiwa chuoni kwamba ww ni msomi, ndo unaanza kujitusi,
 
Habari za muda huu wana jamvi

Naandika uzi huu nikiwa kwenye daladala nikirejea nyumbani kutoka kwenye "mihangaiko" ya Kila siku
Ndani ya daladala nmekaa karibu na wakina mama wawili wakipare(nimesikia wakiongea kipare). Hawa kina mama wanaelezana kuhusu tabia mbaya za mabinti zao waliohitimu vyuo ambao umri unaenda na hawajapata kazi Wala hawajachumbiwa.

Kinachowauma zaidi ni tabia ya Hawa "mabinti" kushinda ndani na kutizama movie muda wote badala ya kutoka nje watembee tembee huwenda wakakutana na "ngekewa".

Namnukuu mmoja akisema "Yani Bora wa kwako hata kanisani anaenda, Mimi huyu wangu hatoki hata kwenda dukani hataki, hana hata marafiki akatembee huko anaweza akapata mume njiani lipo lipo tu"

Wadogo zangu wa kike jitahidini kutembea tembea mama zenu wanataka muolewe mtazeekea ndani.
Nasoma comment
 
Back
Top Bottom