Ni msumbwaHuyo ni mtutsi aka mnyarwanda siyo msukuma yule
Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko kwenye baraza la mawaziri
1. Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Doto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Awali alikuwa Waziri wa Madini.
2. Amemteua January Makamba kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Awali alikuwa Waziri wa Nishati.
3. Amemhamisha Balozi Pindi Chana kuwa Waziri wa Katiba na Sheria. Awali alikuwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo.
4. Amemhamisha Steven Byabato kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Awali, Byabato alikuwa Naibu Waziri wa Nishati.
5. Amemteua Jerry Silaa kuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi. Silaa ni Mbunge wa Ukonga, Dar es Salaam.
6. Rais amemteua Anthony Mavunde kuwa waziri wa madini, mwanzo alikuwa naibu waziri wa kilimo.
7. Prof Makame Mbarawa aliyekuwa waziri wa ujenzi na uchukuzi amekuwa waziri wa uchukuzi.
8. Innocent Bashungwa amekuwa waziri wa ujenzi, mwanzo alikuwa waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa.
View: https://www.youtube.com/watch?v=7bLEuvgVGG4
======
View attachment 2733261
View attachment 2733263
View attachment 2733264
View attachment 2733267
Naona hujaielewa dhanna ya Reform and Rebuilding.Dah..kuna mambo hayako sawa,hii sio kawaida wakuu..huu moshi unaofuka soon kuna moto utawaka! Hatuko salama kama tunavyodhani,kuna msigano mkubwa sana nyuma ya pazia..
Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko kwenye baraza la mawaziri
1. Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Doto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Awali alikuwa Waziri wa Madini.
2. Amemteua January Makamba kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Awali alikuwa Waziri wa Nishati.
3. Amemhamisha Balozi Pindi Chana kuwa Waziri wa Katiba na Sheria. Awali alikuwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo.
4. Amemhamisha Steven Byabato kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Awali, Byabato alikuwa Naibu Waziri wa Nishati.
5. Amemteua Jerry Silaa kuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi. Silaa ni Mbunge wa Ukonga, Dar es Salaam.
6. Rais amemteua Anthony Mavunde kuwa waziri wa madini, mwanzo alikuwa naibu waziri wa kilimo.
7. Prof Makame Mbarawa aliyekuwa waziri wa ujenzi na uchukuzi amekuwa waziri wa uchukuzi.
8. Innocent Bashungwa amekuwa waziri wa ujenzi, mwanzo alikuwa waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa.
View: https://www.youtube.com/watch?v=7bLEuvgVGG4
======
View attachment 2733261
View attachment 2733262
View attachment 2733264
View attachment 2733265
ukiona baba ako kaoa bi mdogo ujue bi mkubwa tayari ana kasoro ndo kutengwa huko.h
How? katengwa vipi?
😅😅😅 Kamtego hako ka kula kichwa cha mtuNAIBU WAZIRI MKUU!!
Rais anaweza kuanzisha nafasi yoyote serikalini kadri anavyoona inafaa...
Rubbish 🗑 🚮
aliyesababisha si ni huyu huyu maushungi??Naona hujaielewa dhanna ya Reform and Rebuilding.
Hapo kwa Kassim Majaliwa, kilichositisha asipigwe chini ni mfumo tu, lakini ana "underperform" sana, juzi aliambiwa, usingoje maagizo kutoka juu.
🤔🤔🤔🤔🤔Je Mwigulu.makamba na Nape bado wapo?
Kama bado wapo hakuna mabadiliko Makubwa hapo.
Bitozo bado anazidi kufurahisha kijiwe.