Looking for a Husband

Kumbe sijachelewa kabisa ngoja nikitulize
Sasa wewe kitulize uone balaa lake. Huyu mwenye 36 na one kid kishaona anazunguka mji mzima hasimamishwi hata na mwanaume mmoja. Wiki , au mwezi au miezi 2. Akiongeleshwa na mwanaume basi ujue ni mlevi anaulizia njia.

Kaja hapa JF lkn kumpata mume wa ndoto yake itakuwa ngumu sana . Kwa umri huo atatamaniwa na wazee wa miaka 48 kwenda mbele ambaye kakatazwa kunywa bia, soda na kula nyama. Kisukari kimepiga hodi. Na Wana wajukuu zao tayari

Hao wenye 30s nani yuko tayari akajitwike libibi la miaka 36 na mtoto juu. Vigori wenye 18-24 wamekufa?
 
eeeh bas wacha ntafute mume na mie🏃🏾‍♀️
 
Matured men below 40yrs old! really? Seriously? That age is still young for a man to qualify a maturity test. Take it or leave it.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom