Looking for a Husband

Kuwajibika na nini wewe ushafika saa 12:45 JIONI Soko karibia linafungwa na hakuna ulichouza tangu asubuhi kifuatacho ni kuuza kwa bei ya hasara au kugawa bure au unataka uendelee kuchezea dildos?

Bro Usikariri maisha,Asha sio Anna
 
Im interested with your need but I like to know your salary per month.Ilike one receiving big salary at least three million per month.
 
My sister!
I am wishing you all the best in finding life partner, lover or husband.
Don't be discouraged with some comments. This is an open forum, there are people of different levels of understanding and exposure.
The best thing you can do is to ignore those negative comments, people are deeply hurt inside, full of regrets and sorrows, these people will try their best to discourage and to inflict pain, ignore them because they are suffering.

All the best.
Mkuu kwa niaba ya mtoa mada nikupongeze kwa maelezo mujarabu na ushauri uliompa, humu jamvini wapo watu waungwana lkn pia kumejaa viumbe wa ajabu sana! unaweza jiuliza kosa la mleta mada hapo ni lipi hasa kwa wale wanaokosoa na kuponda...unagundua tu kwamba lot of members are desperate and going through hell..mleta mada atapata mtu sahihi kbs kupitia post hii hii.
 
Maisha yametuachia makovu na machungu mengi, kadiri tunavyokua wakubwa ni muhimu sana kuponya mioyo na akili zetu.
Wachache hufikia level za self-realization na self-awareness juu ya maisha na matukio yake.
Wengi wanaishi na machungu na wameathirika kiakili hata kwenye namna tu wanavyohusiana na watu wengine.
Ni kweli watu wapo desperate na wanapitia magumu kiasi ambacho mioyo yao imejaa uchungu na mambo ambayo ni negative kabisa.
Embu fikira jukwaa la mahusiano lakini mtu anashangaa na kuumizwa kuona mtu yupo hapa akihitaji mume/mpenzi ama rafiki.

Inatia huruma kuona watu wazima wamekua miili lakini akili zao bado zinaumia kwa matatizo waliyopitia wakiwa na miaka 7.

Jambo la muhimu kwako na kwangu ni kulea watoto wetu katika namna ambayo itawapunguzia maamivu wakati wa kukua kwao lakini pia kuwafanya kuwa watu wanaolewa maisha na wanaojielewa wenyewe.
 
Miaka 35+ Mwanamke ni tayari JIONI Jua limeshazama acha kulemba Maneno

Ukimsimamisha Mwanaume mwenye miaka 35+ na Mwanamke mwenye miaka 35+ pamoja ndio utagundua naongelea nini, miaka 33 tu Mwanamke JIONI Ile pale jua linaelekea kuzama namaanisha hapo Soko la hisa linaelekea kufungwa, yaan hapo Mchumba akijileta kwa Baba wa Mtoto anamuuliza una kiasi gani cha Mahari hamwambii Mahari million 19/20 kwa hio anasema hapa nna Laki basi Baba wa Mtoto anasema nipe hio Laki umchukue maana Jua limeshazama nisije nikakaza USO nikaishia kudoda na kuchekwa
 
Najaribu kukutumia PM lakini inaniwia vigumu.. nahisi Kuna shida, km hautojali nitext sababu kwangu inashindikana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom