Kweli ndoa ngumu, binti anataka kuolewa na boda boda

Nasikiliza mazungumzo ya mama na binti yake hapa.

Binti anajaribu kumshawishi mama yake amruhusu aolewe na dereva boda boda.

Binti: lakini mama huyu ni muelewa.

Mama : kwanini usitafute kijana msomi kama wewe.

Hivi kweli biashara zao zinaweza kuendesha kweli??

Binti ni pisi kali mno.

Naamini boda boda anajituma mno.

Haya wazazi kazi kwenu kazi kwa vijana zilizobakia ndio hizi za boda na ndio hao wakwe zenu.
Hakuna ugumu wa ndoa hapo. Ni kwamba, dereva wa boda boda anatumia ujuzi na uzoefu wa kuendesha boda boda kwenye kupeleka moto!!
 
Na mara nyingi wanaoiona ndoa ngumu ni ninyi third parties. Wewe na huyo mama mtu Hamna utofauti.

Ndoa ni maisha kama yalivyo maisha mengine, pressure kubwa hutoka nje ya wanandoa mkiruhusu maoni ya watu wengine kwenye maisha yenu hakuna rangi mtaacha kuona.
Point ya nguvu sana hii, hakuna jirani/mtu anayemtakia mema mwenzake siku hz, ujirani mwema ilikuwa enz hzo kwa sasa ni unafik mtupu.
 
Kazi gani ambayo sio risk kwa muolewaji?
wanakufa marais ambao kila wanachotia mdomoni lazima kikaguliwe, wako na persona dr 24/7, halafu mtu anasema et kuna kazi ni risk kwa muolewaji, juz tumemzika dr na masters yake hapa, tena kaacha mwanamke mbichi kabisa, watu badala ya kumlilia marehemu walikuwa wanamlilia aliyeachwa.
 
Nasikiliza mazungumzo ya mama na binti yake hapa.

Binti anajaribu kumshawishi mama yake amruhusu aolewe na dereva boda boda.

Binti: lakini mama huyu ni muelewa.

Mama : kwanini usitafute kijana msomi kama wewe.

Hivi kweli biashara zao zinaweza kuendesha kweli??

Binti ni pisi kali mno.

Naamini boda boda anajituma mno.

Haya wazazi kazi kwenu kazi kwa vijana zilizobakia ndio hizi za boda na ndio hao wakwe zenu.
Balaa Mzee Tapeli Lema aliwaita Boda Wana laana

Noma sana
 
Mbona boda boda inalipa sana. Kuna jamaa walianzia walianzia boda boda za mikataba, leo hii wanamiliki boda si chini ya 6 wamewapa watu mikataba. Hesabu yake kwa siku anakusanya 60,000.

Hawa jamaa msiwadharau ndio wenye maisha yasiyo na stress
 
Back
Top Bottom