Kwanini Yesu hakuwa na wanafunzi wanawake?

Moderator mnilekebishie isomeke

kwanini yesu hakuwa na wanafunzi mwanamke?
 
Naombeni majibu wakubwa.
Kama hauna majibu nibora ukakaa pembeni ,
Sitarajii kebehi
It was first century Judea and Galilee. Women were not permitted to leave the house without a male escort; they were not allowed to sit in the main area of the synagogues; they were not allowed on the Temple grounds; they were not allowed to speak openly with a man who was not a relative; and if a male visitor showed up at the house, they were required to leave the room until he was gone.

That poses some serious challenges to any woman who might want to travel around the countryside sleeping in ditches, bathing in rivers, and living in close quarters with a group of men. It would have been unthinkable at the time, and deeply offensive to their culture.

The early Church flaunted custom, allowing women to teach and attend services with the men, and that created massive backlash. The idea of men and women worshipping together was so scandalous to the Romans that Christians were accused of engaging in cannibalism, incest, and orgies during their services, and even as late as the fourth century, the Emperor Licenius forced all Christians to worship in open fields where the soldiers could keep the men and women separated.
 
Wanawake wana mambo kibao mkuu....
Wangeanza kujipamba,kwenda hedhi,kubeba mimba,kusengenyana na mwisho wangemtamani jesus mwenyewe...

Japo hata wale wanaume hawakukamilika lakni atlisti wanavumilika
 
Wapo wengi sana. Alikua na wanafunzi zaidi ya 1000+ ila ili kuendana na makabila 12 ya Israel (Idadi ya watoto 12 wa kiume wa Yakobo) ndio maana akachangua wanaume tu 12.

Mind you, sio kwamba Yakobo alikua hana watoto wa kike, la hasha alikua nao kibao mmoja wapo ni Dina! Kutoka uzao wa Dani(kama sijasahau)
Wanawake kipindi hicho hawakua regarded kwenye uzao wa mwanaume maana wao walitumika kama chombo cha kuzalia tu (and Leisure)

Hivyo basi kama Yakobo angekua na watoto wa kike pia katika orodha ya wana 12 basi yesu angechagua wakike pia.

Unawajua watu wa kwanza kugundua kwamba Kaburi lipo wazi na Yesu hayumo walikua jinsia gani??

Natuamaini nimekujibu
 
Wanafunzi wa kike? Subutuuuu
IMG-20230408-WA0012.jpg
 
It was first century Judea and Galilee. Women were not permitted to leave the house without a male escort; they were not allowed to sit in the main area of the synagogues; they were not allowed on the Temple grounds; they were not allowed to speak openly with a man who was not a relative; and if a male visitor showed up at the house, they were required to leave the room until he was gone.

That poses some serious challenges to any woman who might want to travel around the countryside sleeping in ditches, bathing in rivers, and living in close quarters with a group of men. It would have been unthinkable at the time, and deeply offensive to their culture.

The early Church flaunted custom, allowing women to teach and attend services with the men, and that created massive backlash. The idea of men and women worshipping together was so scandalous to the Romans that Christians were accused of engaging in cannibalism, incest, and orgies during their services, and even as late as the fourth century, the Emperor Licenius forced all Christians to worship in open fields where the soldiers could keep the men and women separated.
Japo umejificha kwenye lugha ya malkia sioni hoja kwa mujibu wa swali la muulizaji.

Kama wanawake walikuwa hawapewi nafasi nyakati zile na Yesu aliridhia basi hayo ndio maagizo ya Mungu.

Kama haikuwa nidhambi wanawake kutokea mbele ya wanaume kwa nini Yesu hakubatilisha tamaduni hii kandamizi kama alivyo badilisha tamaduni zingine za mazoea ya wayahudi?
 
Wanawake wana mambo kibao mkuu....
Wangeanza kujipamba,kwenda hedhi,kubeba mimba,kusengenyana na mwisho wangemtamani jesus mwenyewe...

Japo hata wale wanaume hawakukamilika lakni atlisti wanavumilika
Hahahahahahaahahh na kuanza majungu
 
Back
Top Bottom