Duh hii kali mkuu...mtu kapata kaz alaf mwingine anakuwa na mashakaKuna watu wanamashaka na wanaotoa shuhuda humu.
Ufafanuzi zaidi mkuuKuna watu wanamashaka na wanaotoa shuhuda humu.
Hawakufaulu OralVeta Kuna nafasi za kazi zimekuwa Re-advertised na wakatii bado hawajatoa placement
Daaah aisee Oral interview walikuwa 17 na nafasi zilikuwa 7 na wamere-advertise nafasi 4 kwa hiyo ina maana 03 tu ndio walifaulu oral??Hawakufaulu Oral
Pass marks za kufaulu kwenye ualimu wowote ule unaotangazwa utumishi ni kuanzia 70%. Labda mkando ulikuwa ni mkali sana na wamefaulu wachache, ndio maana re advertised nyingi.Veta Kuna nafasi za kazi zimekuwa Re-advertised na wakatii bado hawajatoa placement
Yes, bila shakaDaaah aisee Oral interview walikuwa 17 na nafasi zilikuwa 7 na wamere-advertise nafasi 4 kwa hiyo ina maana 03 tu ndio walifaulu oral??
Kumbe ni 70% siyo 50%Pass marks za kufaulu kwenye ualimu wowote ule unaotangazwa utumishi ni kuanzia 70%. Labda mkando ulikuwa ni mkali sana na wamefaulu wachache, ndio maana re advertised nyingi.
Practical ya VOCATIONAL TEACHER II - DESIGN, SEWING AND CLOTH TECHNOLOGy waliitwa saba. Refer pdf ya 16/01/2023 ila waliofaulu kwenda oral walikuwa 3 tu.Kumbe ni 70% siyo 50%
ila 70% sio poa wakuu unatakiwa uwe vizuri kweli kweli kwaiyo ukipata chini ya 70% ndo kwa heri au wataku place kwenye hizi kazi za kawaida ambazo passmark ni 50%Kumbe ni 70% siyo 50%
Hawawezii kukuplace za kawaidaa maake interview ya ualimu inakuaga tofautii kidogo kwenye oral mkuuila 70% sio poa wakuu unatakiwa uwe vizuri kweli kweli kwaiyo ukipata chini ya 70% ndo kwa heri au wataku place kwenye hizi kazi za kawaida ambazo passmark ni 50%
Mkuu kuwa mpole tu pdf lingine ni mpk mwezi wa sita tuendelee na shughuli zingine za ujenzi wa TaifaIT unatuachaje leo...
HaiwezekaniMkuu kuwa mpole tu pdf lingine ni mpk mwezi wa sita tuendelee na shughuli zingine za ujenzi wa Taifa
Ukiacha kufundisha panel maana Kuna maswali pia after presentation Yale general question kama ya interview za kawaida. anyway ndo utaratibu wao hatuwezi badilisha kituHawawezii kukuplace za kawaidaa maake interview ya ualimu inakuaga tofautii kidogo kwenye oral mkuu
Umeliona kuna kada adi rahamida yao hii